Mbinu pekee atakazotumia Konde boy kumkabili Diamond

Namuona harmonize akipiga hatua kumi kwenda mbele na at the same time akipiga hatua ishirini kurudi nyuma,halafu yeye,group lake na fans wake wakipiga makofi na kujipongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe binafsi hizo mbinu zimekusaidia kiasi gani ?
 
Asee Harmonize anajua kuimba kuliko Diamond!? Umepotea. Diamond ameshindikana na hagusiki asee na silaha yake kuu ni kujituma sana. Atadondoka siku akiacha kujituma na si kwa uwezo wa msanii yeyote hapa nchini. Au labda kama ataamua kustaafu muziki

Kweli
 
Andiko mujarabu kabisa ila endapo utautuliza ubongo pia kuna kitu nimekibeba hapa.
 
Kama hizo formula zinafanta kazi, je kwanini wewe hukutumia kutoka kimaisha ,hata umshinde boss wako na kampuni yako, hizo Ni nadharia Kama za mganga anayesema anakupa utajiri huku yeye Ni fukara
 
Kama hizo formula zinafanta kazi, je kwanini wewe hukutumia kutoka kimaisha ,hata umshinde boss wako na kampuni yako, hizo Ni nadharia Kama za mganga anayesema anakupa utajiri huku yeye Ni fukara

Unanijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…