Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

butinibuti

New Member
Joined
May 31, 2024
Posts
1
Reaction score
5
Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni.

Na Mungu atawabariki.
 
ipo namna ya kuweka sponsored ads kuwafkia wanawake pekeake tena wenye watoto kipindi hiki cha likizo utawapat weng tu njoo whatsap nkusaidie 0747787410
 
Mikopo .... Mwanamke kutoa hela kwa mkupuo anaona uchungu sana.
Zingatia nidhamu.
 
Back
Top Bottom