Mbinu tata: Mfanye mwanamke akufukuzie!!

Nonsense
 
Hii ni njia muafaka kwa watu wasio na fweza au influence yoyote.
 
Mmh nikitumia hizi kwa miss natafuta ntampata kweli eti wewe ??!
 
Karibu mjini mleta mada. Huku kuna popcorn, ni yaleyale mnayoita mabumunda huko kwenu.
Nafikiri umepitwa na ule usemi usemao Jogoo wa shamba hawiki mjini. Ushauri wako baki nao hukohuko, ukipanda mtumbwi, punda au gari moshi kwa ajili ya kuja mjini basi beba vitu vifuatavyo hela,pesa, shilingi na fedha. Aga halafu ingia mjini.
 
Mi nkiwa natoa hela ndo najiskia yaan navimba, iko ivi nna wapenzi wawili saiv, mmoja hutaskia akitaka hata vocha, huyu mwingine kunivuja ni given. Wote wawili ni mapini kama uzuri wananyooshana maana Mimi sikoseagi sample zangu facelook bure friends zangu wana like bila bando. Cha ajabu huyu dem ambae hanivunji nikiwanae tunaspend hot nyt asubuhi anaondoka hata nauli hataki YAANI IVO NAKUA SIJISKII YAANI HATA SIVIMBI. upande wa pili wa shilingi nkivujwa yaana YAANI NAONA RAHA MOYO UNANISUUZIKA YAANI HATA NKIWA NAE MAENEO NAVIMBA VIZURI, nlichojifunza mwanaume ukiwa kwenye mahusiano zen unahudumia ndio mpango ofcoz wanaume tunapenda kuombwa hela.

angalizo; ikiwa unahudumia afu humfaidi Huyo unaemuhudumia (hupigi) hapo utakuwa umetokea SENGEREMA
 
Agiza unachotaka hapo nakuja kulipa
 
Sijaona pount hata moja,hiyo ni njia unayotumia ww ila ya kwangu ni tofauti kabisa, nilipocheka ni hapa eti unamuita mwanamke. "" hey ww njoo hapa " et mwanamke ndio atakuona wewe ni watofauti kah
 
Mwanamke yyt anahitaji uongo
Tu ili aweze kukupenda na
Kukutunuku papuch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…