Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Rudia tena NumbisaVyoooteeee havifui dafu mbele ya pesa,hela,money,sabuni ya roho,njoronjoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia tena NumbisaVyoooteeee havifui dafu mbele ya pesa,hela,money,sabuni ya roho,njoronjoro
I love my smart
The way he loves youI love my smart
Fanya mtongozo wako kwa mwanamke Wa ndoto zako uwe Wa mafanikio!
Najua wanaume wengi tunapenda kuwa na warembo ila wachache hufanikiwa!
Usiwaze leo nakupa mbinu ambazo utasahau mitoso na lugha chafu za warembo!
1. Mfanye mwanamke ajitathimini kwako!
Yes ni mzuri ila usionyeshe mfadhaiko na kukosa confidence. Inabidi ujioneshe una vigezo vyako na ana jukumu la kukulidhisha! Kumbuka warembo hutongozwa na wanaume wengi,kuwa tofauti
Mfano muulize"ni kitu gani kinakufanya tofauti na wanawake wengine?"
Hapa demu atajifaragua kwa Maelezo lukuki huku unatupia vijiswali
Unaweza ukamuuliza "sidhani kama wewe ni type yangu!
Be different
2. Tumia miondo sawa ya mwili
Mara nyingi unapomfukuzia mwanamke siku za mwanzoni huangalia pembeni! Mwanaume hupata hisia kuwa mwanamke avutiwi na wewe!
Cha kufanya ni kuiga akiangalia kando na wewe ukizungumza usimkodolee mimacho angalia kando! Mbinu hii huteka umakini na kumpa mwanamke confidence ya kutamka vitu ambavyo si kawaida kwa mwanamke!
3. Tumia sauti yenye mamlaka!
Kichekesho ni pale dume unaporemba sauti! Mfano" mambo unaendeleaje"aisee wanawake watakukimbia utaonekana mdhaifu na muhitaji.
Lakini ukitumia kama"hey! Njoo hapa,unaendeleaje itamfanya mwanamke avutiwe na wewe maana kiasili mwanamke ameumbwa kutii! Na kufuata amri!
4. Weka nafasi
Yape mazungumzo yako na mrembo nafasi!
Usiongee mfululizo ka cherehani[emoji23] [emoji23]
Ruhusu uwepo Wa ukimya unaoenda polepole!
Hii nafasi itampa mwanamke nafasi kujileta kwako kama mwana kondoo!
Atafurahi kukupa namba yake ya simu kwa kuwa anakufukuzia wewe na sio wewe unamfukuzia,baada ya kumgeuzia kibao!
View attachment 723944
Upotoshaji mkubwa sio kila mwanamke ametanguliza pesa mbele wapo wengi tu ambao hivyo unavyovitaja sio mahitaji yao kwa sasa sababu vipo tangu babu zao!
Umepiga ikulu mkuu, yaani mlemleeeAhsante sana Mkuu. Na bado katika dunia hii wapo wengi sana ambao wanapenda kwa penzi la kweli wala si pesa ila wanazidi kupungua. Ukijua mwanamke kakupenda kwa penzi la kweli kabla ya kujua unazo bwelele inapendeza sana na unammwagia tu pesa za kutosha. Na ukijua kafuata pesa basi unamtumia tu ukimchoka unamtema kama ganda la mua lililoisha utamu.
Umepiga ikulu mkuu, yaani mlemleee
Kuna wenzio wanawahudumia nauliMi nkiwa natoa hela ndo najiskia yaan navimba, iko ivi nna wapenzi wawili saiv, mmoja hutaskia akitaka hata vocha, huyu mwingine kunivuja ni given. Wote wawili ni mapini kama uzuri wananyooshana maana Mimi sikoseagi sample zangu facelook bure friends zangu wana like bila bando. Cha ajabu huyu dem ambae hanivunji nikiwanae tunaspend hot nyt asubuhi anaondoka hata nauli hataki YAANI IVO NAKUA SIJISKII YAANI HATA SIVIMBI. upande wa pili wa shilingi nkivujwa yaana YAANI NAONA RAHA MOYO UNANISUUZIKA YAANI HATA NKIWA NAE MAENEO NAVIMBA VIZURI, nlichojifunza mwanaume ukiwa kwenye mahusiano zen unahudumia ndio mpango ofcoz wanaume tunapenda kuombwa hela.
angalizo; ikiwa unahudumia afu humfaidi Huyo unaemuhudumia (hupigi) hapo utakuwa umetokea SENGEREMA