Mbinu tata: Mfanye mwanamke akufukuzie!!

Fanya hizo mbwe mbwe zako zote lakini bila pesa kazi bure...

Pesa inakupa confidence..kijana tafuta pesa dunia imebadilika kina dada wote Sasa hivi sio Kama zamani hawaangali sura tena.
 

Hizo zote ni kelele, we onyesha uwezo wa kugharamia au kutimiza mahitaji yake.hapo ukimwacha lazima atakuendea kwa mganga kuhahikisha unarudi.Wanawake wengi ni wabinasfi sana wanajli hisia zao zaidi
 
Her eti kuna kitu gani kinakutofautisha na mademu wengine.. Hyo sasa si interview? Waii apambane mwanaume mwenyewe
 
Niko mtaa natembea very slowly to watch you niggaz.
 
Ahsante sana Mkuu. Na bado katika dunia hii wapo wengi sana ambao wanapenda kwa penzi la kweli wala si pesa ila wanazidi kupungua. Ukijua mwanamke kakupenda kwa penzi la kweli kabla ya kujua unazo bwelele inapendeza sana na unammwagia tu pesa za kutosha. Na ukijua kafuata pesa basi unamtumia tu ukimchoka unamtema kama ganda la mua lililoisha utamu.

Upotoshaji mkubwa sio kila mwanamke ametanguliza pesa mbele wapo wengi tu ambao hivyo unavyovitaja sio mahitaji yao kwa sasa sababu vipo tangu babu zao!
 
Umepiga ikulu mkuu, yaani mlemleee
 
Reactions: BAK
Kuna wenzio wanawahudumia nauli
 
Cha muhimu ni kujua una deal na mwanamke wa namna gani na unamtaka kwa ajili ya nini, he unahitaji kuwa nae kama mpenzi au kuchachua tu?

Kama unamuhitaji kwa mapenzi na unamalengo nae, onyesha hisia zako na hali hisia zako.

Ila kama wa kuchachua tu hawa wengi wanaangalia materials sana pesa, gari au unakaa kwenye nyumba nzuri zaidi yake nk cha ajabu anaweza kukuprnda kisa una iPhone! We mpe tu anachokitaka umalize haja zako
 
kwa hisani ya nesimapenzi.com [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…