Mbinu waliotumia kampuni ya Avis kutawala soko la magari ya kukodisha Marekani

Against position, kaka atujashiba madini. Ila Kama nimekuelewa unasema MTU akiwa smart zaidi yako mfanye awe rafiki yako ikishindikana urafiki Basi asiwe adui yako.
Exactly... Hiyo Ukigeuza kwenye Biashara ni Sahihi Kabisa[emoji736]
 
…miaka ya Nyuma nchini Marekani…

Kulikuwa na ushindani Mkali sana kwenye Soko La…

“Magari ya Kukodisha”

(Rental Cars)

Na…

Moja ya Kampuni ililokuwa Inatawala Soko hilo ilikuwa ni Kampuni ya…

“HERTZ”

Hawa ndio walikuwa Watawala wa hilo Soko kwa kipindi Kile!

Na…

Kama unavyojua Panapokuwa na…

UBER basi… BOLT nae huwa Hakosekani!

Na…

Panapokuwa na…

ABOOD basi.. BM nae huwa Hakosekani!

Kwahiyo…

Hata huko kwao Ilikuwa hivyo…

Yaani Avis na wao walitaka kuingia kwenye Soko la Kukodisha Magari ambalo Lilikuwa chini ya utawala wa hawa…Hertz!

Na…

Hapa Avis waliangaika sana kwa kutafuta Njia ya…Kutawala soko hilo lililokuwa na Ushindani mkali…

Walijaribu njia mbalimbali za Kutawala Soko bila kushindana ILA kwa bahati mbaya zote Zilibuma!

Wakaona isiwe kesi… Wakaamua kuanza kushindana na Mpinzani wao Hertz!

Unajua Nini Kilitokea?..

Walipata hasara kubwa sana kuwahi kupata…Hadi kupelekea Kampuni kutaka Kufungwa…

Kwasababu… Pesa zote walizowekeza kwenye Matangazo hazikurudi!

Kwa kifupi… Walipata HASARA Kubwa Mno!

Na…

Kupoteza kabisa Nafasi yao Sokoni.

Wakiwa wamepoteza Matumaini kabisa…Avis chini ya CEO wake makini Mr…

“Warren Avis”

Walikuja na MBINU Mpya ya kuja Kujiweka kwa mara Ingine soko…

Walikuja na mbinu Inaitwa…

“AGAINST Positining”

Ambayo ndio Iliwafanya waweze Kutengeneza zaidi ya US Dollar 5M na Kutambulika kwenye Soko la Magari ya Kukodisha hadi leo hii.

Unaweza Kujiuliza Sasa Mselem… “Against Positioning” ni nini?

Okay Ondoa Shaka… Nimekuwekea Maelezo yake Hapa Chini…

Ukweli ni kwamba…

Kwenye biashara nafasi ya Mshindani wako Sokoni ni… Muhimu kama Ilivyo nafasi ya Biashara yako.

Na…

Akili ya binadamu (Mteja) huwa haina Nafasi ya kitu KIPYA na cha TOFAUTI Isipokuwa kinahusiana na Kitu cha Zamani.

Najua utakuwa Unajiuliza Leo Mselem anaongea nini huyu…

Ondoa hofu Kabisa… Utanielewa taratibu…

Angalia Hapa…

Kwenye biashara kuna kitu huwa Kinaitwa…

“Product Ladder”

(Ngazi ya Bidhaa)

Yaani…

Wateja huwa wana Tabia ya kuzipanga bidhaa zinazofanana kwenye Madaraja…

Mfano…

Ukiangalia kwenye Akili ya mteja jinsi Soko la ma Busi lilivyo hapa Morogoro…

Utakuta…

Namba 1 ni… Abood

Namba 2 ni… BM Coach

Namba 3 ni… Al Saedy

Yaani… Bidhaa za kufanana kwenye Akili ya Mteja zinajipanga kwenye Mtindo wa Ngazi.

Maana yake ni kwamba… Kila bidhaa huwa Imepangwa kwa Mtindo flani kwenye Kichwa cha Mteja.

Na…

Hii ipo kwenye kila Aina ya bidhaa/huduma Unayotoa!

Kwahiyo…

Ukitaka kufanya “POSITIONING” kwenye Soko unaloingia… Huwa hatuingii kwa kushinda na watu walioko juu ya Ngazi…

Bali huwa tunaingia kwa Kufanya aina hii ya Positioning Inayoitwa…

“Against Positining”

Yaani…

Badala ya kushindana na Giant aliyopo Sokoni kama alivyofanya Avis mara ya kwanza… Wewe unajifananisha na Giant…

Kivipi Sasa?..

Angalia Hapa…

Kwasababu…

Tayari Abood kishakuwa wa Kwanza kwenye Soko la ma Busi… Wewe Unaingia kwa kuwa wa Kwanza kwenye Nafasi ya “PILI” kwenye Aklili ya Mteja wako.

Kwasababu…

Kwenye kila Kipande cha NGAZI kilichopo Kichwani kwa Mteja wako kuna “Brand Name” ya Mshindani wako…

Na…

Kwasababu… Tayari mshindani wako Kashika nafasi ya Kwanza wewe Unaenda kuiwahi nafasi ya Pili kwenye Akili ya Mteja wako

Na…

Sio kushindana na Mshindani wako kama wengi Wanavyodhani… bali ni kwa Kujifananisha na Mshindani wako

Kwasababu kama kutumia Nguvu ya Kushinda ili kuingia Sokoni ingekuwa ndio Strategy basi…

Chama cha Upande wa Pili… Kingeshachukua Utawala!

Kwahiyo…

Ujanja hapa ni kutumia “Against Positining” na Kuiwahi nafasi ya 2 kwenye Akili ya Mteja wako!

Na…

Alichokifanya Avis kwa… Hertz

Ndicho Kilichofanywa na…

Burger King kwenye… Fast Food!

Ndicho Kilichofanywa na…

Pepsi kwenye… Cola Drinks!

Kwahiyo…

“It’s Not About Competing… It’s About Positioning”

Uwe na Siku Njema

Gracias…[emoji1317]

P.S: Nambie Unafikiria nini Juu ya Mbinu hii ya Ushindani kwenye Biashara (Nasoma na Kuji Comments)!

Seif MselemView attachment 2801262
Jifunze kuandika kwa mtililiko mzuri na nyama ziwe nyingi kidogo maana uandish wako havutiii kusoma ingawa una madini sana. Jaza contents ambavyo mtu atasoma kwa kuelewa zaidi. Nakufuatilia kwa karibu sana man.
 
Shukrank Brother...[emoji1666]
 
Kwa msaa wa AI ChatGPT, huu ndio ufafanuzi wa Against Positioning Marketing Strategy.

With reference to Avis car rental, the against positioning marketing strategy works as follows:

Avis differentiated itself from Hertz, the market leader, by emphasizing its customer service and quality. Avis claimed that it had to try harder because it was not the biggest, and that it cared more about the customers’ satisfaction.

Avis challenged Hertz by pointing out its complacency, arrogance, or lack of innovation. Avis suggested that Hertz took its customers for granted, and that it did not offer the best value or service.

Avis appealed to the customers who were unhappy, tired, or curious about Hertz, and offered them a better alternative. Avis invited the customers to switch to Avis and experience the difference, and promised to reward them with loyalty programs and discounts.

Avis created a distinctive and memorable brand identity, personality, and image that stood out from the crowd. Avis used a catchy slogan, ‘We try harder’, that became synonymous with the brand, and a red and white color scheme that contrasted with Hertz’s yellow and black. Avis also used humor, irony, and self-deprecation to make its ads more engaging and memorable.
 
Mwaka wa nyuma nchini Marekani, kumekuwa na ushindani mkali sana kwenye soko la kukodisha magari, na mojawapo ya kampuni zilizotawala soko hilo ilikuwa ni Hertz. Hata hivyo, Avis iliamua kuingia kwenye soko hilo lenye ushindani mkubwa, na kujikuta inakabiliana na changamoto kubwa.

Avis ilianza kwa kujaribu njia mbalimbali za kutawala soko, lakini zote ziligonga mwamba. Walipojaribu kushindana moja kwa moja na Hertz, walipata hasara kubwa sana hadi hatua ya kutishia kufungwa kampuni hiyo. Hii ilitokana na pesa nyingi walizowekeza kwenye matangazo ambazo hazikurudi kama walivyotarajia.

Kwa kukosa matumaini, Avis chini ya uongozi wa CEO wao, Warren Avis, waliamua kubuni mbinu mpya ili kujirejesha sokoni. Mbinu hii ilijulikana kama "Against Positioning" na iliwawezesha kufanikiwa kutengeneza zaidi ya dola milioni 5 na kujiimarisha kwenye soko la kukodisha magari hadi leo hii.

"Against Positioning" ni mbinu inayolenga kutumia nafasi ya mpinzani wako sokoni kama fursa ya kujitambulisha. Hii inategemea ukweli kwamba akili ya mteja hukubaliana na vitu vinavyohusiana na yale wanayoyajua tayari. Mteja huchagua vitu vinavyoonekana kuwa vina uhusiano na kitu wanachokifahamu au wanachokipenda.

Kwa kutumia mbinu hii, Avis haikujaribu tena kushindana moja kwa moja na Hertz, bali iliamua kuwa tofauti na kujiweka kama chaguo la pili kwenye akili ya mteja. Kwa kufanya hivyo, waliweza kujiweka kwenye nafasi ya pili kwenye "Product Ladder" ya akili ya mteja, wakichukua nafasi iliyokuwa tayari inashikiliwa na Hertz.

Hii iliwapa Avis fursa ya kujitofautisha na mpinzani wao mkuu na kufanikiwa kuvutia wateja. Mbinu hii imeonyesha kuwa "Against Positioning" siyo tu njia ya kufanikiwa kwenye soko lenye ushindani mkali, bali ni mbinu inayoweza kuleta mafanikio makubwa na kusaidia kampuni kujitambulisha na kushikilia nafasi yao sokoni.
 
Kwa msaa wa AI ChatGPT, huu ndio ufafanuzi wa Against Positioning Marketing Strategy.

With reference to Avis car rental, the against positioning marketing strategy works as follows:

Avis differentiated itself from Hertz, the market leader, by emphasizing its customer service and quality. Avis claimed that it had to try harder because it was not the biggest, and that it cared more about the customers’ satisfaction.

Avis challenged Hertz by pointing out its complacency, arrogance, or lack of innovation. Avis suggested that Hertz took its customers for granted, and that it did not offer the best value or service.

Avis appealed to the customers who were unhappy, tired, or curious about Hertz, and offered them a better alternative. Avis invited the customers to switch to Avis and experience the difference, and promised to reward them with loyalty programs and discounts.

Avis created a distinctive and memorable brand identity, personality, and image that stood out from the crowd. Avis used a catchy slogan, ‘We try harder’, that became synonymous with the brand, and a red and white color scheme that contrasted with Hertz’s yellow and black. Avis also used humor, irony, and self-deprecation to make its ads more engaging and memorable.
This is exactly what i wanted to hear..you nailed it!!.. everyone craves to be considered important.. value your customers more over anything, make each single customer feel valued.. appriciate their time at your place! Never ever shutdown a single customer, by doing so you shut 250 more.
 
Exactly My Brother...[emoji736]
 
Back
Top Bottom