Checnoris
Senior Member
- Aug 21, 2022
- 123
- 269
Msako unapokuwa mkali, (msako huo)wanajua ni mijini tu husogea mji wa karibu na mjini. Kwa mfano wakisakwa DSM husogea Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na kadhalika.
Msako ukizidi zaid huelekea mikoa ha jirani. Kwa mfano Morogoro, PWANI, Tanga nk au hata ndani ndani huko kusikofikika.
Jeshi la polisi lichukue hii kama changamoto ya kazi Yao na kwamba panya wakiona hali imetulia hurejea mijini na kula nchi kama kawaida, na kabla hawajaanzisha uporaji hawa "teenage gangs terrorising the streets" hupora kidogo dogo Hali ambayo Kwa spidi yake nchi inaona hali ni shwari kumbe Kuna wizi wa rejareja.
Hawa wapuuzi hasa wale mapapa wao wanamiliki bodaboda za wizi na kwa kawaida hupelekewa Hesabu kama mabosi wengine wamiliki wa pikipiki. Kwa nn nasema hii hakuna sensa ya pikipiki. Pikipiki Kwanza hata traffic hawana Muda nazo.
Pikipiki nchini zimeachwa kama nzi na funza chooni. Wanaoishi wapendavyo, wanafanya wapendavyo, hukimbia wanavyopenda, hujui boda ipi ni ya waporaji ipi nipande ni MTU mwema. Yaani nchi yetu IPO IPO tu.