Mbinu ya Kenyatta, Ruto na IEBC haijapata kutokea tokea dunia iundwe!

Mbinu ya Kenyatta, Ruto na IEBC haijapata kutokea tokea dunia iundwe!

19c18fac66277729c8f1002267a40f99.jpg

Haya ndo kusema kibaki naye amefanyiwa figisu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali uko wanatumia akili, uku kwetu watu wanaiba waziwazi na hakuna wakufungua mdomo.
 
Umesema kuwa watapeleka wanawake wengi wajawazito, kwani utaratibu wa kupiga kura kenya ukoje? nijuavyo ili upige kura razima jina lako liwepo ktk daftari la wapiga kura.
 
Odinga safarii akishindwa sijui watamtuliza vipi,maana maneno yake kwenye kampeni ni hatari,ngoja tuone kitakacho tokea.
Arudi nyumbani awache utamaduni wake wa kuchochea waKenya na kukachifu kila mradi wa maendeleo.
 
duu kweli ni mbinu chafu..hio namba 5 utelekezaji wake kama ni doto vile ladba kwa vituo vichache...
 
Mbn mbinu izo za kawaida mno ccm yenyewe ina experience nazo km miaka 20 na zaidi sasa inazitumia na maswala ya kuiweka ccm kwny mkono safi tutakuja tukupige ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta kipenzi cha wana UKAWA atashinda!

Hahahha.. Pamoja na dhuluma anazotaka kufahya Kenyatta, lkn utasikia nyumbu eakimuunga mkono kisa mwenyekiti kasema!

......
We umesahau Dhulma za ccm?!
 
wewe jamaa hua una habari za uongo uongo tu! NASA ni chama?
 
Christopher Chege Msando hakuwa mfuasi wa chama chochote kile na alitaka ku-introduce huo mfumo mpya wa kielektroniki kuwafanya wakenya wapate taswira halisi ya matokeo ya uchaguzi.

Msando akiwa ni mtaalam na pioneer mkubwa wa masuala ya teknolojia, alitaka kutumia utaalam wake kujaribu mfumo mpya wa upigaji kura kielektroniki.

Alikuwa na taarifa zote za ndani ya mfumo huo yaani passwords, IS au information system ambayo ingetumika kutuma matokeo na kuyahifadhi mtandaoni.

Pia alikuwa na jukumu la kutunza taarifa za wapiga kura, kama majina, namba za kujiandikisha, na namna mfumo huo ungeweza kuoanisha matokeo ya upigaji kura tarehe 8 August.

Hivyo kwa ushawishi wa NASA na Jubelee (kwa shingo upande) akafanikiwa kuuboresha mfumo huo na kuuwezesha kuwa wa kisasa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki.

Hivyo alipenda awaonyeshe wakenya utaalam wake huo tarehe 1 August jinsi unavyofanya kazi na manufaa yake.

Hivyo kwanza ni Msando ni mtu asiye na chama halafu anaunda mfumo wa kompyuta wa upigaji kura nchi nzima ili kudhibiti upigiaji kura uwe wa haki.

Pili, alitaka awape elimu wapiga kura kuhusu mfumo huo.

Ukifanya hivyo kwenye nchi kama Kenya ambayo asilimia kubwa na uchumi wake unawategemea walowezi wa kutoka Uingereza na wakenya wachache ambao ndiyo wanaoiendesha nchi hiyo, basi unakuwa unawakwaza sana watu hawa.

Kwasababu ni lazima garimoshi iendeleee kusonga mbele kwa ule mlio wa "kata mti, kata mti, kata mti......"

Unakuwa kikwazo kwa maendeleo, yaani "obstacle to progress"
 
Mimi nipo macho kodokodo, kwenda kusuruhisha ili nipige Pesa/ Dooooo.

Kwa kifupi, Laila na Mdavadi (NASA) watashinda ila hawatatangazwa na hii tume feki ya uchaguzi ya Uhuru na Ruto.

Kwa sababu, figisufigisu zote ziko wazi kabisa za kumnyang'anya ushindi L. Odinga.
 
Mzee GENTAMYCINE, muda sio mrefu kitanuka. NASA wanapinga matokeo na haya uliyotanabahisha yametokea!!
 
Back
Top Bottom