Mbinu ya kijinga ya kupunguza mkopo(Ada) na kuongeza boom

Ikulu T

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2023
Posts
1,600
Reaction score
4,714
Hivi professor Adolf mkenda na wizara yako ya elimu mmeona waTanzania ni wajinga sana?
Do you really think we are going to buy that childish trick of yours'?
Hivi mpaka lini mtaendelea kunyanyasa watoto maskini wa kiTanzania ndani ya nchi yao iliyojaa utajiri kupindukia?
Professor
on which side of history do you wanna be?? Do you want your great-great grand sons and daughters to remember you as a sellout? A clown who ruined the future of this great country because of short term personal gains?

professor kwa usomi wako huo ni wazi kabisa unajua umuhimu wa elimu kwenye Taifa lolote lile!
Sasa kwanini mnafanya ujinga wa namna hii?? Mbaya zaidi kando ya hiyo trick yako ya kijinga kwenye wizara ya elimu kuna matatizo matupu.
Mfano;
1.Kipindi hiki hata kutoa hilo boom mmeshindwa! Wanafunzi wanateseka vibaya mno huku nyie na serikali yenu kutembelea LC 300 ni kitu cha kawaida licha ya gharama yake kubwa ya mafuta,maintenance etc

2.Kuapply mkopo,Hapa ndo kuna kichekesho👎 Mtoto wa kimaskni analazimika kutoa 30,000/= notwithstanding kwamba atapata mkopo au la!!
You guys gotta be kidding👎 Hv kwel huu siwizi kabisa?

3.Suala la control number kwenye form ya HELSB! Hv professor kazi ya hii control number ni ipi? "Waliotoa cheti" wanataka wapewe 6000/= Ili wadhibitishe kama cheti ni halali au la! Seriously.......Huu ujinga maana yake ni ipi au ndo kuongeza urasimu?? (Najua mambo ya RITA yapo wizara ya mambo ya ndani)

Mapendekezo;
1.Wanafunzi wapewe ada inayoeleweka acheni utoto wakupunguza(Ada) upande mmoja nakuongeza upande mwingine(boom) Hapa mwanafunz analazimika kutumia sehemu ya boom lake kulipa ada!

2.30,000/= ifutwe haina utofauti na utapeli kwasababu wanafunzi wanailipa na wengine mkopo hawapati na hela yao hairudi,Na pia inaongeza urasimu kwenye kuapply mkopo.

3.control number ya cheti cha kuzaliwa ni uhuni kama uhuni mwingi ufutwe.
 
Wa

Waambie ukweli Hawa machawa pro max!
 
Ndio mana huwa siwaamini maprofesa wa nchi hii
 
Back
Top Bottom