Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Mchawi pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara kadhaa naona una mquote haruna kahena..tena kwa mistari tofauti tofautiMavumba Ngawila Mapee midako mishiko.
FOMO [emoji1360]Fear of Missing out
Njia nyepesi sana hii Wanawake hupenda sana kitu ambacho hawana na kinapendwa na mwingine
Unachekesha sana 😹Mchawi pesa.
Sio cha mwishoNdio mlivyokaa kikao chenu cha mwisho mkadanganyana??!
Legend [emoji23]Wanawake Hawapendani Kabisa Amini
TRUE STORY BELOW [emoji1484]
Last Week Sunday Kuna Sherehe Ya Kifamilia Nli Attend Ya A Relative Of Mine Alikua Kabatiza Mtoto na Pia Kasherehe Flani Cha Harusi Cz Mwamba Alioa Ughaibuni So Kuja Huku Ikawa Kama Kumtambulisha Mkewe Na Kusherekea Flani
Basi Nikiwa Kwenye Party Hyo Nikakutana Na Binti Flani Around 27 - 29 Light Skinned Sio Mfupi Sio Mrefu and Of good shape….Katika Intelligence yangu nikaja gundua hana mtu wala hayuko engaged….alinivutia ki ukweli na often tukawa tunagongana macho (Alikua kama meza ya 4 on the left na nlipokaa mimi)
Kimbembe Kikaja napataje nafasi kumsemesha niombe namba zake ?? Kwenda pale alipokaa kumsemesha haiwezekani, kwenye meza yake hakuna naemjua, basi atleast kujaribu kuzuga zuga akinyanyuka labda nikamvizie toilet inashindikana….Daaah sherehe nzima winda sanaa hata kwenye kucheza mziki wapi bdo nagonga mwamba simfikii na lengo ni kupata namba ki staarabu kikubwa anipatie yeye mwenyewe.
Baadae Nikiwa Nimeenda toy ku take a leak kutoka mlangoni nikakutana na dada mmoja aliyekuwa amekaa exactly karibu nae (seems ni either ndugu au relative wake) anaenda toy na yeye nikasema basi huyu huyu nitamtumia kumfikia. Nikangoja aende arudi nimsomeshe kweli nikangoja dada akarudi….nikampa hi na uongo uongo mbili mara tatu nikaomba namba yake ili baadae anisaidie kuniweka kwa yule manzi white ambae moyo wangu umeangukia kifudi fudi pale (yes yule babe ni mchagga like me kutokana na sherehe na watu wa pale)
Yule dada tukaongea nikachat nae weee mara na simu kumpigia tia sana vichekesho kisha baadae nikamfungukia malengo yangu nataka aniweke kwa yule dada bebe white…..
aaaah ghafla dada akaacha chat na mm hajibu kwa wakati na simu hapokei bembeleza sana wapi omba omba nyenyekea na wewe wapi……dada kagoma hadi leo namba sijapewa anasema tu dada kagoma kabisa kutaka kuongea au kujuana na mimi na wakati kwenye sherehe tulikua na a very strong eye contact.
Kwa misele yangu yote toka na balehe there is NO WAY yule dada ninge bahatika ongea nae physically angeninyima namba. NO WAY NAKATAA I CAN BET A BILLION
HAPO NDIPO NINAPOKUJA KU CONCLUDE WANAWAKE HAWAPENDANI NA WABANA RIZIKI WAPO (Hata Kwenye Mambo Ya Mapenzi / Ndoa)
Ila ni swala la muda tu yule dada nitamfikia tu, I know it will take time ila i will. Maana nimepekua sana facebook / Insta baada ya kujua jina lao ukoo wake na ku trace marafiki ya relative yangu (mwenye shughuli husika)
Mnisamehe Kwa Gazeti Refu [emoji1488][emoji28][emoji28][emoji817]
Na ulishaambiwa ukiona unapigwa mizinga mara kwa mara jua huyo hakupendi ila kukwambia hivyo hawezi anaona akufukuze kwa hiyo mizinga yake.Na. Ukiona mwanamke anapenda pesa ujue Huyo ni Malaya tuuu
Mara kadhaa naona una mquote haruna kahena..tena kwa mistari tofauti tofauti
Haha noma sana mkuu,jamaa nameless sanaHahaa aiseee nimekukubali ,namfagilia sana Inspector Horoun Babu Triple 5 ,Jamaa mistari yake ya kuchekesha chekesha ,neno moja anaweza akalisema zaidi ya mara moja kwa majina tofauti.
"Mtoto bambadi colored mweusi uso soft usio chunusi natural color chotara mng'avu ng'avu maji ya kunde kaenda hewani sekunde" - Mtoto wa geti kali
"Mara vikaanza viboko bakora stick michalazo" -Heka Heka za Teacher
Kaka hela vipi???MBINU YA KUMPATA
Tafiti zinaonesha kwamba, muuzaji(Mfanya Biashara) yeyote akipata mteja atakayeonesha kuhitaji/kuvutiwa na bidhaa zake, alafu ghafla mteja huyo akahamia kwa muuzaji mwingine, basi yule muuzaji wa kwanza ataanza kuona wivu na kujuta kwa kumpoteza mteja huyo.
Ila sasa endapo yule mteja atarudi kwa muuzaji wa kwanza, basi tafiti zinaonesha kwamba muuzaji yule atamjali na kumzingatia ili mteja huyo asiondoke tena, na kama haitoshi muuzaji huyo anaweza kulazimika kumuuzia mteja bidhaa yake kwa bei ya punguzo ili tuu kuhakikisha anau-win moyo wa mteja.
Sasa hii kitu kitaalam inaitwa "Attention Shifting", kwamba hata unapomtaka mwanamke, basi cha kufanya kwanza mfuate kisha mfanye afurahi na kuifurahia company yako kisha baada ya muda ile attention yako hamishia kwa rafiki yake, hii itamjaza wivu na kumfanya aanze kujiuliza maswali mfano [emoji116]
"nimekosea nini mpaka kaenda kwa rafiki angu, ina maana rafiki yangu ni mzuri/ana mvuto kunizidi".
Hali hii itamuingiza mwanamke huyo katika competition kati yake na huyo rafiki yake, na endapo ukirudisha ile attention yako kwake, basi itamfanya aanze kujihisi kama anatakiwa kufanya kitu cha ziada ili kukutunza na kukulinda usiondoke.
Bro, ukiweza kutengemeza competition kati ya wanawake wawili, basi amini kwamba ume-win game kirahisi sana.
View attachment 2497634
Kosa lako kubwa ulianza kuwekeza kwa huyo mtoa namba wa kwanza.Wanawake Hawapendani Kabisa Amini
TRUE STORY BELOW [emoji1484]
Last Week Sunday Kuna Sherehe Ya Kifamilia Nli Attend Ya A Relative Of Mine Alikua Kabatiza Mtoto na Pia Kasherehe Flani Cha Harusi Cz Mwamba Alioa Ughaibuni So Kuja Huku Ikawa Kama Kumtambulisha Mkewe Na Kusherekea Flani
Basi Nikiwa Kwenye Party Hyo Nikakutana Na Binti Flani Around 27 - 29 Light Skinned Sio Mfupi Sio Mrefu and Of good shape….Katika Intelligence yangu nikaja gundua hana mtu wala hayuko engaged….alinivutia ki ukweli na often tukawa tunagongana macho (Alikua kama meza ya 4 on the left na nlipokaa mimi)
Kimbembe Kikaja napataje nafasi kumsemesha niombe namba zake ?? Kwenda pale alipokaa kumsemesha haiwezekani, kwenye meza yake hakuna naemjua, basi atleast kujaribu kuzuga zuga akinyanyuka labda nikamvizie toilet inashindikana….Daaah sherehe nzima winda sanaa hata kwenye kucheza mziki wapi bdo nagonga mwamba simfikii na lengo ni kupata namba ki staarabu kikubwa anipatie yeye mwenyewe.
Baadae Nikiwa Nimeenda toy ku take a leak kutoka mlangoni nikakutana na dada mmoja aliyekuwa amekaa exactly karibu nae (seems ni either ndugu au relative wake) anaenda toy na yeye nikasema basi huyu huyu nitamtumia kumfikia. Nikangoja aende arudi nimsomeshe kweli nikangoja dada akarudi….nikampa hi na uongo uongo mbili mara tatu nikaomba namba yake ili baadae anisaidie kuniweka kwa yule manzi white ambae moyo wangu umeangukia kifudi fudi pale (yes yule babe ni mchagga like me kutokana na sherehe na watu wa pale)
Yule dada tukaongea nikachat nae weee mara na simu kumpigia tia sana vichekesho kisha baadae nikamfungukia malengo yangu nataka aniweke kwa yule dada bebe white…..
aaaah ghafla dada akaacha chat na mm hajibu kwa wakati na simu hapokei bembeleza sana wapi omba omba nyenyekea na wewe wapi……dada kagoma hadi leo namba sijapewa anasema tu dada kagoma kabisa kutaka kuongea au kujuana na mimi na wakati kwenye sherehe tulikua na a very strong eye contact.
Kwa misele yangu yote toka na balehe there is NO WAY yule dada ninge bahatika ongea nae physically angeninyima namba. NO WAY NAKATAA I CAN BET A BILLION
HAPO NDIPO NINAPOKUJA KU CONCLUDE WANAWAKE HAWAPENDANI NA WABANA RIZIKI WAPO (Hata Kwenye Mambo Ya Mapenzi / Ndoa)
Ila ni swala la muda tu yule dada nitamfikia tu, I know it will take time ila i will. Maana nimepekua sana facebook / Insta baada ya kujua jina lao ukoo wake na ku trace marafiki ya relative yangu (mwenye shughuli husika)
Mnisamehe Kwa Gazeti Refu [emoji1488][emoji28][emoji28][emoji817]
Kosa lako kubwa ulianza kuwekeza kwa huyo mtoa namba wa kwanza.
Kitendo cha kuanza kuchat naye kwa muda na kupigiana simu...ulianza kumpa matumaini kuwa unamtaka so unapoanza kuomba namba ya mwingine...ulimvunja moyo.
Huo ni ubinadamu ulivyo.
Labda asiwe gold diggerMBINU YA KUMPATA
Tafiti zinaonesha kwamba, muuzaji(Mfanya Biashara) yeyote akipata mteja atakayeonesha kuhitaji/kuvutiwa na bidhaa zake, alafu ghafla mteja huyo akahamia kwa muuzaji mwingine, basi yule muuzaji wa kwanza ataanza kuona wivu na kujuta kwa kumpoteza mteja huyo.
Ila sasa endapo yule mteja atarudi kwa muuzaji wa kwanza, basi tafiti zinaonesha kwamba muuzaji yule atamjali na kumzingatia ili mteja huyo asiondoke tena, na kama haitoshi muuzaji huyo anaweza kulazimika kumuuzia mteja bidhaa yake kwa bei ya punguzo ili tuu kuhakikisha anau-win moyo wa mteja.
Sasa hii kitu kitaalam inaitwa "Attention Shifting", kwamba hata unapomtaka mwanamke, basi cha kufanya kwanza mfuate kisha mfanye afurahi na kuifurahia company yako kisha baada ya muda ile attention yako hamishia kwa rafiki yake, hii itamjaza wivu na kumfanya aanze kujiuliza maswali mfano [emoji116]
"nimekosea nini mpaka kaenda kwa rafiki angu, ina maana rafiki yangu ni mzuri/ana mvuto kunizidi".
Hali hii itamuingiza mwanamke huyo katika competition kati yake na huyo rafiki yake, na endapo ukirudisha ile attention yako kwake, basi itamfanya aanze kujihisi kama anatakiwa kufanya kitu cha ziada ili kukutunza na kukulinda usiondoke.
Bro, ukiweza kutengemeza competition kati ya wanawake wawili, basi amini kwamba ume-win game kirahisi sana.
View attachment 2497634
MBINU YA KUMPATA

Utashindwaje mkuu?Hapana Mkuu, It was the same day and within the first 5 hours. Yule dada ameamua tu kunikunjia namba.
Ila hajui mi mwenyewe cobla nitazipata tu. Sijawahi Shindwa Project Nikipania. Hehe
Oyaaaa 😂😂😂😂Ndo utuwekee mwanamke mwenye hereni kubwa kama rim ya TOYO