mbinu ya kupata gpa nzuri kwa chuo

mbinu ya kupata gpa nzuri kwa chuo

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
787
Reaction score
47
wakuu naomba ushauri ili nipate gpa nzur ktk masomo yangu ya chuo natarajia kuanza mwaka wa kwanza faculty ya b.a with education or (baed) asanteni
 
Penda kuhudhuria kwenye group discussion, darasani, library,epuka mademu na starehe nyingine kama pombe, usijifanye unajua sana, penda masomo kama unavyowapenda wazazi wako, jitambue kuwa unataka kuwa nani, kuwa na ushirikiano na wenzako,100.
 
kwenye mtihani ingia na kisaidizi(chabo) pia usisahau simu kwenye chumba cha mtihani ili swali likikushinda una google fasta.
 
wakuu naomba ushauri ili nipate gpa nzur ktk masomo yangu ya chuo natarajia kuanza mwaka wa kwanza faculty ya b.a with education or (baed) asanteni

Soma kwa bidii kwa kuelewa. Mjue profesa wako, msikilize vizuri atoapo maelekezo.

Siku moja prof wangu alituombea kabla ya mtihani: "e mwenyezi Mungu, nakuomba uwasaidie wanafunzi hawa kufanya mtihani wao vema, uwape kumbukumbu nzuri ya mambo yote waliyo yasoma kwa bidii"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
usipoteze muda mwingi kwenye blogs na forum utafeliiiiii....jamii uje ukiwa unashida ya maswali....watu watakusaidia mapoint
 
Hakikisha unareview kila ulojifunza ndani ya 48 ukilimbikiza ukasubir paper utapanic then utaperform poor! Attend lectures na sikiliza kwa umakini sana! Epuka starehe na anasa! Zaidi ya yote Mtumaini Mungu wako katika njia zako zote wala usizitegemee akili zako Mwenyewe naye atayanyoosha mapito yako! Mithal 3:5-6
 
Nami naunga mkono yote yalitajwa na wenzangu hapo juu,ila ningependa niongeze yafuatayo;
1.Tafuta Madesa/simbi za kutosha za kila soma,zipitie vizuri,uzielewe vizuri kabisa na na hata ishindikana waweza kubeba/kukariri,na ili uzielewe vizuri zipitie kwanza wewe mwenyewe baada ya kutoka pindi then nenda kwenye group discussion.Huko kwenye discussion shiriki kikamilifu....Madesa/Simbi zitakupa mwanga Lecturer huwa anakuja kinamna gani,pia hao malectures wengi wao siku hizi hawana muda na mambo ya shule kwa sana,wengi wao wana viNGOs or Washauri kwenye makampuni/mashirika ambako hulipwa fedha nyingi ,hivyo ikifika kipindi cha mitihani huwa wanachukua past papers na kuzidurufu kama zilivyo,wengine husahau hata kubadilisha mwaka

2.Mwisho kuwa makini kwenye uchaguzi wa marafiki,angalia wale wenye tabia nzuri na vipanga,watakusaidia sana

Kila la kheri kijana...Simbi zidumu!
 
Soma kwa bidii kwa kuelewa. Mjue profesa wako, msikilize vizuri atoapo maelekezo.

Siku moja prof wangu alituombea kabla ya mtihani: "e mwenyezi Mungu, nakuomba uwasaidie wanafunzi hawa kufanya mtihani wao vema, uwape kumbukumbu nzuri ya mambo yote waliyo yasoma kwa bidii"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Nimeipenda
 
Back
Top Bottom