Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unataka GPA nzuri?
Piga msuli kijana,mambo mengine waachie baba na mama
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
wakuu naomba ushauri ili nipate gpa nzur ktk masomo yangu ya chuo natarajia kuanza mwaka wa kwanza faculty ya b.a with education or (baed) asanteni
wengine tuna ndoto ya kuja kuitwa PROF. so lazma tutake hzo GPA kubwa. thanks wale wote wanaotoa mawazo mazur..