Mbinu ya kupata stateoneries kwa haraka bila gharama kwenye biashara ama office yako

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Mara nyingi imekuwa inaumbua unapohitaji vifaa vya stationeries kwa haraka kwa ajili ya office, duka au shule wakati kwa kipindi hicho huna hela

mimi nimepata mbinu yakupokea mzigo ndani ya saa 24 mahali popote tanzania bila kulazimika kulipa
FATA HATUA HIZI

1/ Jiunge na kampuni ya cgs Tanzania wao ni wasambazaji wa office stationeries & Equipment
2/ Punde watakapokutumia costumer id number fanya order Online kupitia website yao
Untitled baada ya hapo utaweza kupokea mzigo wako within 24 hrs
3/ kumbuka kulipa ndani ya mwezi mmoja

Bonyeza LIKE kama nimekusaidia
 
Umenisaidia au umenichanganya. Hata madrassa tulikuwa hatufundishwi hivi
 
Mara nyingi imekuwa inaumbua unapohitaji vifaa vya stationeries kwa haraka kwa ajili ya office, duka au shule wakati kwa kipindi hicho huna hela

mimi nimepata mbinu yakupokea mzigo ndani ya saa 24 mahali popote tanzania bila kulazimika kulipa
FATA HATUA HIZI

1/ Jiunge na kampuni ya cgs Tanzania wao ni wasambazaji wa office stationeries & Equipment
2/ Punde watakapokutumia costumer id number fanya order Online kupitia website yao
Untitled baada ya hapo utaweza kupokea mzigo wako within 24 hrs
3/ kumbuka kulipa ndani ya mwezi mmoja

Bonyeza LIKE kama nimekusaidia
mbona hamna kitu hicho CGS tanzania?
 
Umenilazimisha ku-like bila ridhaa yangu. Nimefanya hivyo
 
hongereni kwa ubunifu, ila kumbuka umeahidi within 24hours popote tz mzigo utakuwa umemfikia mteja!!!
 
Mara nyingi imekuwa inaumbua unapohitaji vifaa vya stationeries kwa haraka kwa ajili ya office, duka au shule wakati kwa kipindi hicho huna hela

mimi nimepata mbinu yakupokea mzigo ndani ya saa 24 mahali popote tanzania bila kulazimika kulipa
FATA HATUA HIZI

1/ Jiunge na kampuni ya cgs Tanzania wao ni wasambazaji wa office stationeries & Equipment
2/ Punde watakapokutumia costumer id number fanya order Online kupitia website yao
Untitled baada ya hapo utaweza kupokea mzigo wako within 24 hrs
3/ kumbuka kulipa ndani ya mwezi mmoja

Bonyeza LIKE kama nimekusaidia

Kama kweli uko serious na unataka kufanya biashara kiuhakika basi kwanza tafuteni mtu aliyesomea marketing mwajiri....kutangaza biashara si jambo la utani wala masihara kijana. Mtu akisoma tu hilo tangazo lako anakuona kama tapeli flani kwa sababu umezidisha chumvi: 1. Huwezi kupata steshenali "bila gharama" labda uibe. 2. Hujasema unajiunga vipi na masharti ni yapi. 3. Huwezi kudeliver mzigo ndani ya saa24 "popote Tanzania", hilo jambo haliwezekani
Back to business: Kama uko serious naomba unielekeze ofisi ilipo na mawasiliano nikuunganishe na watu wa uhakika.
 
Kama kweli uko serious na unataka kufanya biashara kiuhakika basi kwanza tafuteni mtu aliyesomea marketing mwajiri....kutangaza biashara si jambo la utani wala masihara kijana. laMtu akisoma tu hilo tangazo lako anakuona kama tapeli flani kwa sababu umezidisha chumvi: 1. Huwezi kupata steshenali "bila gharama" labda uibe. 2. Hujasema unajiunga vipi na masharti ni yapi. 3. Huwezi kudeliver mzigo ndani ya saa24 "popote Tanzania", hilo jambo haliwezekani
Back to business: Kama uko serious naomba unielekeze ofisi ilipo na mawasiliano nikuunganishe na watu wa uhakika.

hujiamini au huamini !!!!!!!!? mimi ni titus julius sales & marketing executive I am sure of this. Lakini terms & conditions to be applied karibu maswali yako yote yanamajibu kwenye website yetu japokuwa badoipo under constraction.

Hivi cgs watakutapeli vipi wakati wewe mpaka unapokea mzigo wetu, tunakuwa hatujakuchaji hata senti? hebu kwanza niambie possibility ya sisi kukutapeli

Hebu tumia fulsa hii kurekebisha usemi ulioutumia hapojuu otherwise waelimishe watu jinsi gani cgs inaweza kumtapeli mtu kulingana na maelezo yangu

1. Nenda Online
2. Jaza form ya kujiunga
3.
subiri a/c activation then utapokea service code
4. Chagua bidhaa
5.
Ingia online store
6. Soma vigezo na masharti
7. Fanya online order

WAIT FOR THE PRODUCT

Make your Order now with a Next Day Derivery free

Untitled (our website is under constraction )
 
Mkuu, labda haujanisoma vizuri, sijawahukumu kuwa "matapeli" ila tangazo limekaa ki-suspect kwa sababu limezidi chumvi, yaani ukilituma kwenye email ya mtu lazima liingizwe kwenye spambox! Wabobezi wa masoko wana lugha flani nzuri ambazo zinashawishi. Ebu niambie mimi nayekaa Ukara, Runzewe, au Darpori mtanifikishiaje mzigo ndani ya saa 24?
Back to Business: Nimeshaforward hiyo website yenu kwa wadau kama watapendezwa na bei "mtakula vichwa", lakini hiyo kulipa ndani ya mwezi inawatia shaka kama mzigo haujauzika?!!...au kama mtu ameuza serikalini halafu epica9 "inazingua"? anyway watakutafuteni kwa sababu biashara ni mazungumzo.
 
TERMS & CONDITION TO BE APPLIED
Kama umeshafanya marketing utakuwa umenielewa tu. stop suspecting !
unajuaje kama vigezo na maharti yetu vinakuzuia kulipa ndani ya siku 30, au vina extend derivery period au vinakuondolea kabisa derivery free!
ok io tatizo kaka. tutafurahi kushirikiana na wewe and thanks for riferrals na ninadhani tunaweza kufanya kazi vizuri
 
Back
Top Bottom