carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Tayari tumeshapanic, weka ukweli wa unachokijua mkuu. Uzuri hapa wako wataalam kibao hivyo tutajua tu mbivu na mbichiUmepata bahati ya pekee kuliona onyo hili. Sitaki kutengeneza panic kwa jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari tumeshapanic, weka ukweli wa unachokijua mkuu. Uzuri hapa wako wataalam kibao hivyo tutajua tu mbivu na mbichiUmepata bahati ya pekee kuliona onyo hili. Sitaki kutengeneza panic kwa jamii
Hapo kweli ni unafki tu.Kwani meusahau tabia za kinafiki za wabongo?
Tupe Maelezo kidogo tuwe na Uelewa angalau kidogoUmepata bahati ya pekee kuliona onyo hili. Sitaki kutengeneza panic kwa jamii
yale yale ya chai jaba ni chai tamu[emoji16][emoji16],sijui kuna chai za ladha ngapi???
Wanasema Mtu akiwa Hai anasimamia haki zake Mwenyewe na Kuzipigania yeye mwenyewe Kwa Kushirikisha wenye mamlaka na wanasheria...Mbona alivyokuwa mzima hawakufuatilia ili wamsaidie kupata haki zake?
Issue sio kwamba ameamua kutoendelea kufanya matangazo. Issue ni kwamba matangazo yake aliyafanya kwa kumtumia marehem King Majuto. Jamaa baada ya kufa serikali ikiongozwa na waziri Mwakyembe waliamua ku-reevaluate ule mkataba na wakagundua kuwa mkataba haukuwa in favour kwa marehemu and so akapigwa stop kutumia matangazo yote hasa yale yenye picha ya marehemu.
Kwa walio Hai wafikishe malalamiko yao Nao watafutiwe hakiYaani Mwakyembe kareveiw mkataba baada ya mzee kufa?
Je anapitia na mikataba ya wengine ambao bado hai??
Acha hujuma za kukandia bidhaa za ndani, tununue vya Tanzania.Usiitumie chumvi hiyo (una bahati kusoma post hii)
Lishwa visababishi vya kansa kwa ubishi wako.Acha hujuma za kukandia bidhaa za ndani, tununue vya Tanzania.
Kwa walio Hai wafikishe malalamiko yao Nao watafutiwe haki
Uwongo tuuLishwa visababishi vya kansa kwa ubishi wako.
nisamehe kwa kukuongopea.Uwongo tuu
TBS hawajaona ama au TFDA
nisamehe kwa kukuongopea.
usilolijua ni usiku wa giza, mkuu nisamehe kwa kukuongopea.Mnachafua biashara za watu
Mwenye jukumu la kulinda afya yako ni wewe binafsi siyo hizo mamlaka usiziamini sanaUwongo tuu
TBS hawajaona ama au TFDA