Mbinu ya kutangaza biashara aliyotumia mmiliki wa neel salt

Umepata bahati ya pekee kuliona onyo hili. Sitaki kutengeneza panic kwa jamii
Tayari tumeshapanic, weka ukweli wa unachokijua mkuu. Uzuri hapa wako wataalam kibao hivyo tutajua tu mbivu na mbichi
 
Mbona alivyokuwa mzima hawakufuatilia ili wamsaidie kupata haki zake?
Wanasema Mtu akiwa Hai anasimamia haki zake Mwenyewe na Kuzipigania yeye mwenyewe Kwa Kushirikisha wenye mamlaka na wanasheria...

Walianza kufatilia haki zake Baada ya Kuona Nyumbani kupo hoi na Serikali kuhitajika kuokoa wajane wa marehem
 

Yaani Mwakyembe kareveiw mkataba baada ya mzee kufa?


Je anapitia na mikataba ya wengine ambao bado hai??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…