Mbinu za CCM kuwatawala watanzania: If you want to befriend a Lion, starve it intermitently and then feed it with a piece of meat

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. CCM imeshajua kuwa watanzania wana njaa, tena njaa kali.

2. CCM anapigilia msumari hapo hapo, anawa starve zaidi kwa mbinu ya vitisho, kukosa ajira kwa wasomi etc etc .

3. Then anawarushia vipande vya mkate, such as .ajira kidogo, baiskeli, pikipiki, visenti kwa timu za mpira etc etc........ wanapoza njaa/kifo.......

4. Lazima wakuone kama Mungu wao

5. MWISHO UTAWATAWALA KIRAHISI UPENDAVYO
 
Watanzania kwa ujumla wao Bado ni wajinga sana.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…