Inaelezwa kwamba polisi walishindwa kumpata Gwajima ilhali walikuwa wamemzunguka. Maswali yanayoibuka ni je, aliwezaje kuwatoroka.
View: https://youtu.be/yQ2zT0LD5qg?si=Brdvz6bRNVe6d2_e
Njia za kisayansi ambazo huenda Gwajima alizitumia kutoroka ni pamoja na:
Njia ya kwanza: huenda hakuwa eneo la tukio. Kwa hivyo polisi walifika lakini mhusika hakuwa hapo.
Njia ya pili: inawezekana mahali alipokuwa kuna njia ya chini inayomuwezesha kutembea chini kwa chini mpaka atakapotokea nje. Hii ni nadra.
Njia ya tatu: upo uwezekano wa kujifungia katika chumba maalumu ambacho hakiwezi kufikiwa ama kugundulika kwa urahisi.
Njia ya nne: huenda alibadili mavazi, mfano, alivaa dera na kujichanganya na waumini wakati polisi walipovamia.
Upo uwezekano wa Gwajima kutumia njia hizo kutoroka, kama unahisi kuna njia nyingine, ongezea tuijadili.
TANGAZO: ‘Likizo Time’ Mlete mwanao asome nasi katika kituo chetu kwa kipindi hiki cha likizo, masomo yote yanafundishwa kwa ngazi zote za elimu. Tunapatikana Kinondoni mtaa wa Kambangwa. Wasiliana nasi kwa simu namba: 0653 250 566 au gusa link:
Mwalimu Makoba