Hayo mambo utayakuta kila chuo sio ifm tu...ni akili binafsi ya mtu
Nimeshituka sanaaa nilipo ona, elezwa na kudhibitisha, hali hii chini...
hao ni wanafunzi wa chuo kikuu kimoja dar posta, na kwa hali hii ni dhahiri kupata wataalamu fake KATKA TAIFA LETU......
KEMEA TABIA HII NA USIJALIBU
Bila shaka hao wanatafuta makarai tu watoke ( C ) , c zao zenyewe zinaanzia marks 40, Hahahaa....!!! wangepata nafasi ya kukaa- freedom square pale SUA wasigesahau katika maisha yao ya shule. God Bless Center of Excellency (SUA ).