Mbinu za kafaulu chuo kikuu, kama unaona zina fahaa

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Nimeshituka sanaaa nilipo ona, elezwa na kudhibitisha, hali hii chini...
hao ni wanafunzi wa chuo kikuu kimoja dar posta, na kwa hali hii ni dhahiri kupata wataalamu fake KATKA TAIFA LETU......

KEMEA TABIA HII NA USIJALIBU

598527_4801238470098_1787270198_n.jpg
 
Bila shaka hao wanatafuta makarai tu watoke ( C ) , c zao zenyewe zinaanzia marks 40, Hahahaa....!!! wangepata nafasi ya kukaa- freedom square pale SUA wasigesahau katika maisha yao ya shule. God Bless Center of Excellency (SUA ).
 
Hayo mambo utayakuta kila chuo sio ifm tu...ni akili binafsi ya mtu
 
Bora hata vyuo vikuu tungekuwa na mama ndalichako!! Hawa watoto wangesafa!!!
 
Nimeshituka sanaaa nilipo ona, elezwa na kudhibitisha, hali hii chini...
hao ni wanafunzi wa chuo kikuu kimoja dar posta, na kwa hali hii ni dhahiri kupata wataalamu fake KATKA TAIFA LETU......

KEMEA TABIA HII NA USIJALIBU

598527_4801238470098_1787270198_n.jpg

sisi tukiyakamata haya ni disco tu hakuna ujinga!
 
Bila shaka hao wanatafuta makarai tu watoke ( C ) , c zao zenyewe zinaanzia marks 40, Hahahaa....!!! wangepata nafasi ya kukaa- freedom square pale SUA wasigesahau katika maisha yao ya shule. God Bless Center of Excellency (SUA ).

Nelson Mandela Freedom Square, huu ukumbi hautaki wazembe du sitaki kupakumbuka, Dr. Israel aka mtoa roho za watu!
 
Back
Top Bottom