kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's My Pleasure Mkuu.[HASHTAG]#Theconsult[/HASHTAG], Shukrani kwa majibu yako.
Karibusomo zuri
Asante kwa somo zuri, mimi ninahitaji msaada wako katika biashara ambayo imeanguka kisha ina madeni mengi na kwa sasa ninajipanga kuifufua upya. Kwa kifupi ni kwamba nilikuwa naendesha biashara ya bakery kwa kipindi cha miaka 6, lakini kwa bahati mbaya mwaka 2016 nilivunjiwa mahali nilipokuwa nafanyia biashara hii, kitendo hicho kiliniingiza kwenye matatizo makubwa sana kwani nilikuwa na mikopo mikubwa kwenye mabenki na kwa washirika wa biashara ambao walikuwa wananipatia malighafi na wengine vitendea kazi. Baada ya kuvunjiwa nimekaa miaka 2 ninahangaika kuona kama ninaweza kurudi tena kwenye game bila mafanikio kutokana na ukubwa wa madeni niliyokuwa nayo, mpaka nikaanza kuuza baadhi ya asset ili niweze kuanza tena lakini nilishindwa kwani madeni yalikuwa mengi. Kwa sasa nimeanza tena lakini biashara ni changa na matumizi ni makubwa kuliko kipato hivyo inanipata changamoto ya namna ya kujiendesha. Wewe kama mtaalamu unanishauri nifanye nini ili biashara iweze kusimama tena?Karibu
Ngoja nikwambie kitu.Asante kwa somo zuri, mimi ninahitaji msaada wako katika biashara ambayo imeanguka kisha ina madeni mengi na kwa sasa ninajipanga kuifufua upya. Kwa kifupi ni kwamba nilikuwa naendesha biashara ya bakery kwa kipindi cha miaka 6, lakini kwa bahati mbaya mwaka 2016 nilivunjiwa mahali nilipokuwa nafanyia biashara hii, kitendo hicho kiliniingiza kwenye matatizo makubwa sana kwani nilikuwa na mikopo mikubwa kwenye mabenki na kwa washirika wa biashara ambao walikuwa wananipatia malighafi na wengine vitendea kazi. Baada ya kuvunjiwa nimekaa miaka 2 ninahangaika kuona kama ninaweza kurudi tena kwenye game bila mafanikio kutokana na ukubwa wa madeni niliyokuwa nayo, mpaka nikaanza kuuza baadhi ya asset ili niweze kuanza tena lakini nilishindwa kwani madeni yalikuwa mengi. Kwa sasa nimeanza tena lakini biashara ni changa na matumizi ni makubwa kuliko kipato hivyo inanipata changamoto ya namna ya kujiendesha. Wewe kama mtaalamu unanishauri nifanye nini ili biashara iweze kusimama tena?
Umemshauri vizuri sana Mkuu.Ngoja nikwambie kitu.
Kwenye biashara ni vitu viwili tu ndiyo vinavyoweza kukuletea faida.
1. Innovation
2. Marketing
Mambo mengine yote ni Cost tu.
Nimejifunza haya kupitia uzoefu.
Nikiongelea kwaufupi kuhusu Innovation ni kwamba kama unaendelea kufanya biashara yako bila kuwa mbunifu soon you will be out of business. Ubunifu ni mambo yote kuanzia unavyoandaa mikate yako, utamu wake, ingredients unatumia.....everything.
Pia niongee Marketing kidogo.
Watu wengi wanadhani marketing ni kuandaa tangazo na ku-post sehemu basi tayari umemaliza. No way this is going to work.
Lazima uwe na Marketing strategy. And marketing strategy unaweza kuitengeneza kwakuwaelewa wateja wako. Don't lie to yourself you are smart than your customers. Tafuta njia yakufahamu nini wanataka hasa. Na namna gani wanapenda wahudumiwe. Utajifunza mengi.
Mwisho niseme, jaribu kupunguza gharama kwakuweka msisitizo kwenye Innovation na Marketing.
Mkuu, unapatikana wapi?Asante kwa somo zuri, mimi ninahitaji msaada wako katika biashara ambayo imeanguka kisha ina madeni mengi na kwa sasa ninajipanga kuifufua upya. Kwa kifupi ni kwamba nilikuwa naendesha biashara ya bakery kwa kipindi cha miaka 6, lakini kwa bahati mbaya mwaka 2016 nilivunjiwa mahali nilipokuwa nafanyia biashara hii, kitendo hicho kiliniingiza kwenye matatizo makubwa sana kwani nilikuwa na mikopo mikubwa kwenye mabenki na kwa washirika wa biashara ambao walikuwa wananipatia malighafi na wengine vitendea kazi. Baada ya kuvunjiwa nimekaa miaka 2 ninahangaika kuona kama ninaweza kurudi tena kwenye game bila mafanikio kutokana na ukubwa wa madeni niliyokuwa nayo, mpaka nikaanza kuuza baadhi ya asset ili niweze kuanza tena lakini nilishindwa kwani madeni yalikuwa mengi. Kwa sasa nimeanza tena lakini biashara ni changa na matumizi ni makubwa kuliko kipato hivyo inanipata changamoto ya namna ya kujiendesha. Wewe kama mtaalamu unanishauri nifanye nini ili biashara iweze kusimama tena?
Nitafute kwa kutumia namba ya simu hapo juu.Mimi niko Dodoma.