Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
OD ni gia ndogo zaidi ya 4 au 3 katika gari lako maana yake kuanzia gia na.5 kuendelea inamaanisha ume overdrive gear za kawaida yaani umevuka mzunguko wa crankshaft hivyo differential zinazunguka mbio zaidi kuliko mzunguko wa injiniSijaelewa kidogo kwani katika automatic gear kuna gear ngapi .
Just for my normal understanding ukiweka D unaruhusu Gari kutembea hadi gear ya 3 but ukiweka d2 unaruhusu gar kutembea hadi gear ya 2 yani 2nd gear.
Na ukiweka L unaruhusu Gari kutembea na gear ya chini kabisa ambayo ni 1 ..
Kwamfano nikiweka overdrive nikiwa L Gari litaongeza kasi au lita maintain steady speed?
na ile ya AC mafuta yatatumika zaidi kwenye injini na utakuwa nzito kwani kuna belt inayozungusha mitambo ya Air condition ambayo inaendeshwa na injini