jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Ndugu zanguni,kwa wale ambao mmepitia vyuoni si mbaya mkatugusia sie ambao tunatarajia kuanza chuo mbinu na njia za kuweza kufaulu vizuri,kama mjuavyo elimu ya chuo ni tofauti na ile ya sekondary jinsi ya kujibu mitihani na mengineo ni tofauti,kwahiyo kama mtakuwa na chochote cha kutuambia basi ningeomba mtujuze,SHUKRAN


