Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa
hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au
ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??