Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Passport ya muda mfupi bei rahisi tu 50k ya miezi mitatu kugonga kila kitu kama 60k ivi wanakupa mwezi mmoja ukitaka potelea uko uko ni wewe utajua sasa jinsi ya kukwepana nao migration japo Kwa Zambia pembeni pembeni kidgo awaingi na kipindi cha mavuno Zambia ndo hela nje nje.. Naongea kutokea Zambia
 
Kipindi cha mavuno ni miezi ipi?
 
Passport ya muda mfupi bei rahisi tu 50k ya miezi mitatu kugonga kila kitu kama 60k ivi wanakupa mwezi mmoja ukitaka potelea uko uko ni wewe utajua sasa jinsi ya kukwepana nao migration japo Kwa Zambia pembeni pembeni kidgo awaingi na kipindi cha mavuno Zambia ndo hela nje nje.. Naongea kutokea Zambia
Ajikaze apate passport ya muda mrefu 10yrs ataingia nchi zinazotuzunguka vizuri akitafuta fursa vizuri tu cha muhimu awe anafuata taratibu za kupata permit kwa muda anaokaa
 
Congo pekee ila ishu security
Kongo wanaroho mbaya saaana kaka me nnaexperience ya nchi kadhaa
1) angola tatizo migration Lakini ajira zipo mfano kama unajua kutafsili kichina hata Leo hii ajira zipo na FULSA ni nyingi
2) kongo Hela IPO ila Kwa biashara za mazao kama dagaa(kauzu) maharage nk
3) Zambia pesa IPO nyingi ila Kwa biashara ya mavazi au urembo au uwe fundi cherehani pia zambia ukiwa fundi garage pia mpunga ni mwingi
4)Kenya ni ngumu kumeza
5) Uganda ni ngumu kumeza pia
6) msumbiji ni kiumeni saaana
7) Zimbabwe peleka mazao ya chakula lakin TFDA yao ni Very tough ahsey
8) Botswana Nenda na ujuz Wote ule utakuweka mjini
9) Namibia pia kama Botswana
Kuhusu Bei za vyumba bwana kunabaadhi ya nch ni kama bongo lakin nch za kusini kama namibia Angola Botswana n very tough
 
Ajikaze apate passport ya muda mrefu 10yrs ataingia nchi zinazotuzunguka vizuri akitafuta fursa vizuri tu cha muhimu awe anafuata taratibu za kupata permit kwa muda anaokaa
Imekaa tu Sawa nayo
 
Nenda Mozambique [emoji1174] ila inabidi uwe na roho ngumu kama mwenda zake kama una roho nyepesi unarudi kabla hujafika,kuhusu migration ni kukimbizana kila baada ya siku kadhaa,kuhusu police wana njaa kama mchwa,kuhusu biashara ukikomaa unatoboa anyway karibu Singida
 
Kama urapata walau laki 5(pesa ya kubangaiza) nenda Msumbiji sehem za Machimbo toka dar na bidhaa hata kama ni nguo,viatu ama vipodozi...maana kuna Machimbo mengi sana na watanzania wamejaa + wenyeji na mataifa mengine..kikubwa pata kubali cha muda maana kwao ishu ni ufate utaratibu...wengi wametoboa sana msumbiji kupitia Biashara sehem za Machimbo ya dhahabu na Rubi
Kaka kwenye hili naomba unipe mungozo wa eneo linaitwaje na nikisha vuka boda napakia gari eneo gani kufika uko.. niko tayari kupeleka mitumba angalao huo mtaji ulio sema ninao.
 
Kongo wanaroho mbaya saaana kaka me nnaexperience ya nchi kadhaa
1) angola tatizo migration Lakini ajira zipo mfano kama unajua kutafsili kichina hata Leo hii ajira zipo na FULSA ni nyingi
2) kongo Hela IPO ila Kwa biashara za mazao kama dagaa(kauzu) maharage nk
3) Zambia pesa IPO nyingi ila Kwa biashara ya mavazi au urembo au uwe fundi cherehani pia zambia ukiwa fundi garage pia mpunga ni mwingi
4)Kenya ni ngumu kumeza
5) Uganda ni ngumu kumeza pia
6) msumbiji ni kiumeni saaana
7) Zimbabwe peleka mazao ya chakula lakin TFDA yao ni Very tough ahsey
8) Botswana Nenda na ujuz Wote ule utakuweka mjini
9) Namibia pia kama Botswana
Kuhusu Bei za vyumba bwana kunabaadhi ya nch ni kama bongo lakin nch za kusini kama namibia Angola Botswana n very tough
Hapa Zambia nimeipenda.. issue ni eneo gani hasa nikienda nishukie na uzoefu wako kwenye usafiri nikitokea Dar mpak zambia gari gani zinaenda na je nauli inachezea bei gani?
 
Kwa dar tunduma nauli ni 40-50 Toka apo unaingia nakonde hapo nakonde sio pazuri saana Kwa biashara japo panalipa saana Kwa biashara za umachinga zipo chimbo kama copper belt,Lusaka, solwez uko mto zambez mpaka wa Zambia na angola halaf Kuna sehem inaitwa kazungula hapo napo ni pazuri pia pia kunasehem inaitwa mpulungu hapo niziwa Tanganyika upande wa Zambia nako kumechangamka saaana na uko ziwani Toka nakonde nauli ni kama 9000 tuu ni sehem ambayo unaeza enda hata kufanya savei then ukarudi kujipanga nipazuri saana kibiashara
 
Passport ya muda mfupi bei rahisi tu 50k ya miezi mitatu kugonga kila kitu kama 60k ivi wanakupa mwezi mmoja ukitaka potelea uko uko ni wewe utajua sasa jinsi ya kukwepana nao migration japo Kwa Zambia pembeni pembeni kidgo awaingi na kipindi cha mavuno Zambia ndo hela nje nje.. Naongea kutokea Zambia
Ni kuanzia miezi ipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So hakuna aliyopo uko kwenye nchi tajwa ata anipe majibu ya alivyo ingia na maisha yakoje uko na ana dhani mtu akiingia afanye issue gani yenye mzunguko wa uhakika wakipato?

nimefika lusaka na ndola zambia, franscistown bostwana na lilongwe malawi.

Katika hizo nchi nilizotembea nenda zambia kama unataka biashara

kodi za nyumba inategemea na eneo gani unataka kukaa pale lusaka

-kuanzia matero market mpka lilanda east na west kodi ya chumba kimoja huwa ina range kuanzia 100 kwacha mpka 300 kwacha INATEGEMEA
-maeneo ya emasdel mpka friends corner pako ghali kidgo

ila ukitaka uswahilini ambako usalama ni zero nenda pale Misisi na nyuma ya city market upande wa kanyama kule

zambia iko vizuri ukiuuliza swali ntalijibu
 
Nchi za ukanda wa Africa mashariki na kati unahitaji pass tu unaingia huhitaji visa .
Cha pili nenda nchi ambayo currency ya huko nikubwa kuliko yetu kitakusaidia sn kimaisha wkt ukija bongo.
Tatu kuna wabongo wengi wapo Kenya, Rwanda,Congo zambia kazi kwako tu
 
Passport ya muda mfupi bei rahisi tu 50k ya miezi mitatu kugonga kila kitu kama 60k ivi wanakupa mwezi mmoja ukitaka potelea uko uko ni wewe utajua sasa jinsi ya kukwepana nao migration japo Kwa Zambia pembeni pembeni kidgo awaingi na kipindi cha mavuno Zambia ndo hela nje nje.. Naongea kutokea Zambia
Ni kuanzia miezi ipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kwenye hili naomba unipe mungozo wa eneo linaitwaje na nikisha vuka boda napakia gari eneo gani kufika uko.. niko tayari kupeleka mitumba angalao huo mtaji ulio sema ninao.
Kuna machimbo mengi snaa na yana hela...pakuanzia unaweza chagua kwenda Msumbiji kupitia Mtwara kuna sehem kuna daraja la kuvuka kisha kuna usafiri wa kwenda machimbo ya Rubi panaiywa MITEPWESHI..

ukija Songea kuna boda ya Muhukuru kuna Machimbo ya 0D,namba6,Turo na Nakaguruwe na Mianzini

Ukienda Wilaya ya Mbinga kuna usafiri wa kuelekea Boda inaitwa DAR-PORI..hapo itapata channel wapi sehem nzuri kwa biashara hasa hizo za nguo.

N.B: Biashara ya nguo hasa za Fashion unaweza kutengeneza Faida mara 3 ya hela uliyotumia sabahu Kna watu wengi sana kule na wanavaa sana mfano jjinsi ya 15 dar kule inauzwa 80 mpaka 75 kawaida
 
Kongo wanaroho mbaya saaana kaka me nnaexperience ya nchi kadhaa
1) angola tatizo migration Lakini ajira zipo mfano kama unajua kutafsili kichina hata Leo hii ajira zipo na FULSA ni nyingi
2) kongo Hela IPO ila Kwa biashara za mazao kama dagaa(kauzu) maharage nk
3) Zambia pesa IPO nyingi ila Kwa biashara ya mavazi au urembo au uwe fundi cherehani pia zambia ukiwa fundi garage pia mpunga ni mwingi
4)Kenya ni ngumu kumeza
5) Uganda ni ngumu kumeza pia
6) msumbiji ni kiumeni saaana
7) Zimbabwe peleka mazao ya chakula lakin TFDA yao ni Very tough ahsey
8) Botswana Nenda na ujuz Wote ule utakuweka mjini
9) Namibia pia kama Botswana
Kuhusu Bei za vyumba bwana kunabaadhi ya nch ni kama bongo lakin nch za kusini kama namibia Angola Botswana n very tough
Jamaa umemaliza kila kitu it's true
 
Back
Top Bottom