wanaotoka dodoma wana nini?Wewe utakuwa unatoka Dodoma sio bure.... Naihurumia familia yako
Ila kwanini huamini misssawa mkuu
Dalili za uchizi hizo mkuuhahah asee nimecheka kimoyo moyo sijui kwanini siku hizi nachekeshwa na vitu vya hovyo
Ha ha ana refer Matonyawanaotoka dodoma wana nini?
association fallacy.Ha ha ana refer Matonya
mkuu unadhani hili bandiko halichekeshi?Dalili za uchizi hizo mkuu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hali inatisha shunieAhahahhhh anko magu alegeze kidogo jamaan
Haha au kula mipakani tu.Kati Kati ya mchana na jioniSiku hizi nyumba nyingi wanaitoa neutral yaan wanapiga dash usije shangaa unasubiri had saa kumi hakuna msosi wala nini.
Sent using Jamii Forums mobile app