Mbinu za Kuishi muda mrefu bila Kufa kwa Njaa hata kama huna kazi

Mbinu za Kuishi muda mrefu bila Kufa kwa Njaa hata kama huna kazi

Nikukute usiku nyumbani kwangu alafu unatambulishwa ni classmate! Kijana angalia utaishia pabaya
 
Ulianza vizur kumshauri mtu awatafute marafiki nilitegemea ungesema mtu awatumie marafiki hao kujifunza namna ya kufanikiwa au namna ambavyo wanapata ugali badala yake unawashaur watu wavizie ugali wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafundshana kuwa tegemezi.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
ni mbinu nzuri sana.....lakini ni dalili ya shobo ukiziendekeza lazima upigwe miti....shobo zina kiasi chake...!
 
Back
Top Bottom