Kweli aiseee mtu uanze kutafuta marafiki zako uliosoma nao primary hapana jamaanHali inatisha shunie
Kwanza ntaongea nao nini maana mazoea yalishakataKweli aiseee mtu uanze kutafuta marafiki zako uliosoma nao primary hapana jamaan
Mi nakujaMimi kwangu bila visa hujafika.
Na mwaliko sitoi.
Sent from my Kimulimuli
Na uwakumbuke sasa huyu mtu hapana jamanKwanza ntaongea nao nini maana mazoea yalishakata
Miaka ya magu kuja kuisha Mario watakua wengi sanaNa uwakumbuke sasa huyu mtu hapana jaman
Wewe utakuwa unatoka Dodoma sio bure.... Naihurumia familia yako
Nani anataka mzigo wa kumlea mtu mzima na ndevu zake kila mtu apambane na hali yake tu AntonioMiaka ya magu kuja kuisha Mario watakua wengi sana
Mjiandae kiuchumi kulea mibabu yenye mviNani anataka mzigo wa kumlea mtu mzima na ndevu zake kila mtu apambane na hali yake tu Antonio
Wenye vipaji vyao vya kulea marioo watawalea tuMjiandae kiuchumi kulea mibabu yenye mvi
Yeaa nakuja na nnakula kweli kweliWatokea Gendaubwere?
Sent from my Kimulimuli
Tutakuletea chakula huko huko uliko.Yeaa nakuja na nnakula kweli kweli
Kwa hiyo hutaki nije[emoji23][emoji23] jamoniiiTutakuletea chakula huko huko uliko.
Tupe anuani tu.
Sent from my Kimulimuli
Uje Sabrina utamuacha na nani?Kwa hiyo hutaki nije[emoji23][emoji23] jamoniii
Ntakuja nae[emoji23][emoji23],,,au nije mwenyewe[emoji6]Uje Sabrina utamuacha na nani?
Sent from my Kimulimuli