Mbinu za Kuishi muda mrefu bila Kufa kwa Njaa hata kama huna kazi

Mbinu za Kuishi muda mrefu bila Kufa kwa Njaa hata kama huna kazi

Dume zima unatoa ramani za ganda la ndizi?I thought ungedadavua namna ya kujidamka sokoni Sambusa au Buguruni saa kumi kupakua viazi na matikiti ?Am disappointed
 
Mnamshangaa huyo...huku kwetu uswazi kuna watu kazi yao kupita kwenye mazishi na hitma kula mpunga kila siku! Nakumbuka kuna mmoja yeye huwa anamkamata nzi halafu anamuachia akiruka mashariki au magharibi jamaa anajua mpunga uko huko huko.....Mfukoni ana ndizi mbivu na pilipili mbuzi mbili!
 
Wabongo walivyo unawajua wewe au unawasikiaa?utasikia ushatangazwa kwa marafiki wote,, na watakutema wakikujua
Mi siwezi aisee huo muda bora nideki nyumba iwe safi na nijipikie hata maboga ya majani
 
Back
Top Bottom