Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Mimi sina neno. Ila itabidi uongee na Bi. Zuhra kwanza.Ntakuja nae[emoji23][emoji23],,,au nije mwenyewe[emoji6]
Sent from my Kimulimuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina neno. Ila itabidi uongee na Bi. Zuhra kwanza.Ntakuja nae[emoji23][emoji23],,,au nije mwenyewe[emoji6]
Namuambiaje sasa mim we mwambie umesafiri,,yule cheupe kidawa au bi zuhura yupiMimi sina neno. Ila itabidi uongee na Bi. Zuhra kwanza.
Sent from my Kimulimuli
We badala uwape vijana mbinu za kuingiza pesa, unatuletea stori pori hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi nyumba nyingi wanaitoa neutral yaan wanapiga dash usije shangaa unasubiri had saa kumi hakuna msosi wala nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza vizur kumshauri mtu awatafute marafiki nilitegemea ungesema mtu awatumie marafiki hao kujifunza namna ya kufanikiwa au namna ambavyo wanapata ugali badala yake unawashaur watu wavizie ugali wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo janja za wala wake za watu wajinga wengi! Ulisoma naye ok sasa kinachokuweka mchana hadi usiku ni nini? Utapotezwaha ha ha... kwa nini?
Dume zima unatoa ramani za ganda la ndizi?I thought ungedadavua namna ya kujidamka sokoni Sambusa au Buguruni saa kumi kupakua viazi na matikiti ?Am disappointed
Hizo janja za wala wake za watu wajinga wengi! Ulisoma naye ok sasa kinachokuweka mchana hadi usiku ni nini? Utapotezwa
Mnamshangaa huyo...huku kwetu uswazi kuna watu kazi yao kupita kwenye mazishi na hitma kula mpunga kila siku! Nakumbuka kuna mmoja yeye huwa anamkamata nzi halafu anamuachia akiruka mashariki au magharibi jamaa anajua mpunga uko huko huko.....Mfukoni ana ndizi mbivu na pilipili mbuzi mbili!
Sasa utatafuta pesa saa ngapo
Alieandika inaonekana ni msomi mzuri tu tena mwenye kujua mpaka sheria....mfano matumizi ya neno "plagiarism" ila ameandika!!!!
Dalili za kufa masikini huanza taratibu kama hizo steps zako
Mpe anae kupa