Mbinu za kukata vitunguu pasipo kutokwa na machozi

Mbinu za kukata vitunguu pasipo kutokwa na machozi

Habari zenu,

Wengi wetu tukimenya vitunguu maji na kuvikatakata mara nyingi tunatoa machozi.

Sasa chukua kikombe au bakuli tia chumvi na maji halafu weka pembeni huku ukikatakata vitunguu vyako; kamwe hautotoa chozi wala hutowashwa.

Jaribu leo.

Njia mbadala 1:



Njia mbadala 2:



Njia mbadala 3:



Njia mbadala 4:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuweka Kipande kichwan inahusiana vp na machozi au ndo iman??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuviweka Kwenye Jokofu kabla ya Kuvikata .
Kutafuna Jojo Wakat Unavikata.
Washa Feni wakat Unakata Vitunguu.
 
Back
Top Bottom