Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
MBINU ZA KUKUSAIDIA KUUSHINDA MWILI USIWAKE TAMAA.
Nukuu; kwanza zinaa huwezi kushindana nayo ,bali nikuikimbia.
"KILA MMOJA Wenu Ajue KUUWEZA MWILI WAKE katika UTAKATIFU na HESHIMA; Si katika HALI ya TAMAA MBAYA, KAMA MATAIFA Wasiomjua MUNGU." (1 Thes 4:4-5)
✍🏽MOJA, Dhamiria Kutoka Moyoni Kuutiisha Mwili, Na Usemeshe MWILI Wako Maana Wewe ni roho Uambie Sasa Yatosha!
✍🏽MBILI, Mkabidhi Mungu Mwili Wako, Afunge na Kukata Kila Mifumo Ya TAMAA, Maana Alisema Pasipo Yeye Huwezi Kushinda Chochote.
✍🏽TATU, Chagua Cha Kutazama, Cha Kusikia Na Cha Kuzungumza , Mazungumzo Mabaya Huharibu Tabia Njema.
✍🏽NNE, Weka Kando Mawazo/Mtazamo Hasi, Mfano Usimtazame Msichana Kwa Mawazo ya Ana hips ,Ana Makali Makubwa hayo Yataakuamshia Hisia Kali, Mtafasiri Katika Positive way Ya Kimungu.
✍🏽TANO, Penda Kusoma NENO na Kuliishi Kila Siku na Kila unapotembea Uwe Mtu wa Maombi, Omba Njiaani, Sokoni, Mtaani hata Ukiwa Kijiweni Kijimimine Kwa Mungu Kimoyo Moyo.
✍🏽SITA, Kama Bado Miaka Kadhaa Mbele Ndo Uoe Epuka Kujadili Ishu Ya Wasichana au Wavulana Focus Kwenye Issue zingine Kwanza za Maisha ITAKUSAIDIA Kushinda TAMAA MBAYA.
✍🏽SABA, Chagua Marafiki Wema na Sahihi, Kuna Watu Mkikutana Wao ni Kuongelea Mapenzi tu, Hana Neno la Mungu hata Chembe Hao Waepuke Sana Watakuangusha
✍🏽NANE, Tumia Mitandao Ya Kijamii Vizuri, Epuka Kutazama Picha za Uchi Wala Video za Ngono, Usiingie Social Media Kama Huna Cha Maana Unachoenda Kutazama.
✍🏽TISA, Penda Kusikiliza Nyimbo Zinazojenga na Kulishia Akili Yako Mema, Ni Wazi Bongo Fleva Nyingi Zimejaa Matusi Na Maneno Yakuamsha Hisia tu, Kumbuka Kile Unachokisikia IPO Siku Utataka kukiweka Kwenye Matendo tu.
✍🏽KUMI, Tambua Wewe ni Dhaifu Epuka Kukaa Mazingira Yenye Vishawishi Vya Kukuingiza Kwenye TAMAA, Na Epuka Simu za Usiku iwapo Huna Kitu Cha Msingi Cha Kuongea na huyo Binti/Mvulana.
✍🏽KUMI na MOJA, Usitembelee Maeneo Yenye Vishawishi Kama Bar au Kumbi za Starehe Kama Huna Jambo Linalokulazimu Kufika Kule, Wengi Huko Wana mavazi Ya Vishawishi Yasiyo na Adabu Wala Heshima.
✍🏽KUMI na MBILI, Usipende Kushika SHIKA Msichana Wala Wewe MSICHANA Usipende Kushikwa Shikwa na Wavulana Itakuamshia TAMAA ya Mwili Bure, Heshimu MWILI Wako.
Mwenye masikio na Asikie
-MUNGU KWANZA-