Mbinu za kukwepa mizinga!

Samahani mzee mwenzangu kwani unatumia benki gani kuhifadhi pesa zako ili nikupe akili ambayo we utabaki hauna hela cash in hand ila utakuwa unatajirika bila kupiga kazi wala niniila kila mwisho wa mwezi unatumiwa faida...kusudi wakikuomba hela unawaambia "najiskia uvivu kwenda peke yangu benki kutoa hela labda fanya uje home twende bank tukatoe hiyo hela"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…