mandunda
Member
- Jul 20, 2019
- 81
- 66
Airtel au halotel hilo bando lako??njia yangu ilikua kuamia Chaputa
bajeti ya buku2 tu kila miezi 3 kwa mche wa 'Komoa'
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airtel au halotel hilo bando lako??njia yangu ilikua kuamia Chaputa
bajeti ya buku2 tu kila miezi 3 kwa mche wa 'Komoa'
Samahani mzee mwenzangu kwani unatumia benki gani kuhifadhi pesa zako ili nikupe akili ambayo we utabaki hauna hela cash in hand ila utakuwa unatajirika bila kupiga kazi wala niniila kila mwisho wa mwezi unatumiwa faida...kusudi wakikuomba hela unawaambia "najiskia uvivu kwenda peke yangu benki kutoa hela labda fanya uje home twende bank tukatoe hiyo hela"Tatizo hawataki niwachakate papuchi zao! Ila kuna mmoja huyo nahisi kaniloga,mana kila akiomba pesa nampa ila nikigusia penzi anachomoa! Et yuko busy!.Saiv nimeplan akiomba simpi namuitikia tu sawa ila situmi hata 100 japo nnayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mzee mwenzangu kwani unatumia benki gani kuhifadhi pesa zako ili nikupe akili ambayo we utabaki hauna hela cash in hand ila utakuwa unatajirika bila kupiga kazi wala niniila kila mwisho wa mwezi unatumiwa faida...kusudi wakikuomba hela unawaambia "najiskia uvivu kwenda peke yangu benki kutoa hela labda fanya uje home twende bank tukatoe hiyo hela"
Sent using Jamii Forums mobile app