Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,669
- Thread starter
- #21
Hhaaaaaaaa tatizo wanakosea kitu kimoja cream ya uson si ya kupaka miguun .....Kunashoga Angu miguu imegoma kutakataa usoo Kama muarabu na mashungii unaweza ukasema kashuka kutoka Oman na weupe ulee shuka Kwenye miguu Sasa 😀😀😱😀😀😀 😀😀😀😀😱😱 sijui apake nini atakate