Mbinu za kupunguza sugu kwa wanaojichubua

Hhaaaaaaaa tatizo wanakosea kitu kimoja cream ya uson si ya kupaka miguun .....
 
Na kwanini wajichubue[emoji26] [emoji26]
Tatizo mna waaminisha kua ngozi nyeupe ndio uzuri yaani sisi kwa sisi tunajibagua ndio maana wanajichubua,

Ila me nawaambia wale matunda kwa wingi, wanywe maji mengi na wafanye mazoezi kwa sana.

Ngozi itakua nzuri kama ya mtoto mng'aaa.
Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…