Kusajiliwa kuwa Tax Consultant unajaza application form (ipo kwenye website ya TRA)na unaambatanisha na vyeti (certified) pamojana CV.
Ukishaaza form unaipitisha kwa Regional Manager wa TRA katika mkoa wa kodi unaotaka kufanyia kazi. Akiipitisha unalipia Tshs 100,000 kwenye account utakayopewa na TRA.
Form inapelekwa TRA HQ,then unasubiri kama mwezi hivi. Kama umekubaliwa unapewa certificate. Ukikataliwa unapewa barua na sababu.
Kila laheri.