Mbinu za Kusajiliwa kuwa Tax Consultant

Mbinu za Kusajiliwa kuwa Tax Consultant

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Wadau mliobobea katika nyanja hiyo naombeni kunishauri jinsi ya kupata usajili wa kuwa Mshauri wa Kodi.Ni vema ukatoa na ushauri jinsi ya kuondoa vigwazo kama vipo hasa TRA muda gani unaweza chukua kupata kibali baada ya kuwasilisha maombi.
I salute you.
 
Kusajiliwa kuwa Tax Consultant unajaza application form (ipo kwenye website ya TRA)na unaambatanisha na vyeti (certified) pamojana CV.

Ukishaaza form unaipitisha kwa Regional Manager wa TRA katika mkoa wa kodi unaotaka kufanyia kazi. Akiipitisha unalipia Tshs 100,000 kwenye account utakayopewa na TRA.

Form inapelekwa TRA HQ,then unasubiri kama mwezi hivi. Kama umekubaliwa unapewa certificate. Ukikataliwa unapewa barua na sababu.

Kila laheri.
 
Ukisema mbinu unamaanisha ujanja ujanja au kutumia njia zisizo sahihi
 
asante kamanda.nilifikiri kuna mlolongo wa sessions mbali na hizo procedures.
Isalute you.
 
Back
Top Bottom