MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye Dushe ndipo kuna msalaKuna kipindi nilipiga matundu kama wiki nzima mfululizo, nikawa nasikia moyo unataka kuchomoka.
Ukubwani huku tunapiga matundu kwa mawazo tu, unakuta unawaza hela ya kodi, mkopo wa board, makato ya saccos, ada za watoto, tuition fee ya wadogo, na hela ya wazazi. Ukiwaza yote hayo usingizi hauji na dushe linalala.
Na wengi wanazingua