MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
PGM tulikuwa na kiumbe mmoja tunamwita Braniac aka abatan anasoma mpaka inafkia kpindi anageuza daftari juu chini anasoma tena mnaalewa nikisema juu chini? Sijui ndo kuchanganyikiwa huko
Anatumia mikono yote miwili kuandikia
Anatumia mikono yote miwili kuandikia