Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
- Thread starter
- #21
Hizo ni mbinu nilizozitengeneza kutoka kwa marafik zangu waliobambwa na wanafunz mimi huwa sijihusushi na hayo masuala ndo maana nikawashaur waache.kwa hizo mbinu zako...Je umeshabandua wangapi hadi sasa?
halafu hiv una dada au binti mwanafunzi..?
Anyway sina mtoto kuhusu Dada zangu wote walishaolewa mkuu