Hamnaga siri
Sasa ni watu ninaoishi nao hata nikipata dili la kazi wanataka nijue ni wapi nafanyia hiyo kazi mpaka mshahara Mimi sipendi na siku nisipokua na ishu wanakaa mbali na Mimi hata mia yao siioniKwann unawaeleza mipango yako ? Au ukiwaeleza wanakusaidia ?
Kama hawakusaidii chochote Haina haja ya kuwaeleza habari zako,jitahidi kua mkimya wewe ni mtu mzimaaa
Sawa tuSasa ni watu ninaoishi nao hata nikipata dili la kazi wanataka nijue ni wapi nafanyia hiyo kazi mpaka mshahara Mimi sipendi na siku nisipokua na ishu wanakaa mbali na Mimi hata mia yao siioni
Dahπ
Kwahyo ukifanya mambo yako kimyakimya kitapungua nn ? Jifunze kujisimamia Mungu akusaidieSasa ni watu ninaoishi nao hata nikipata dili la kazi wanataka nijue ni wapi nafanyia hiyo kazi mpaka mshahara Mimi sipendi na siku nisipokua na ishu wanakaa mbali na Mimi hata mia yao siioni
Dahπ
ππππ, umetisha...Ukiwa unaenda kunyandua/kunyanduliwa huwa unawaambia pia?
Yes, kama unvyoweza kutunza hiyo Siri basi na SIRI zingine unaweza.
MPAKA LEO UNAISHI NA NDUGU WALA HUJAPANGA AFU UNATUSUMBUA HAPASasa ni watu ninaoishi nao hata nikipata dili la kazi wanataka nijue ni wapi nafanyia hiyo kazi mpaka mshahara Mimi sipendi na siku nisipokua na ishu wanakaa mbali na Mimi hata mia yao siioni
Dahπ
Sio kucontrol tuu pia wanapenda kuonana mtu Hana kitu anatesekaUnaishi na watu ambao wanapenda kucontrol wengine, ishi maisha yako mkuu usiri ni muhimu sana kwako.
Habari zenu Wana jukwaa
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua msiri
Baadae ya kua mtu mzima Kuna namna ninawaona ndugu na watu wa karibu kama watu wenye choyo na wengi hawapendi mtu afanikiwe iwe ni ndoa kazi au biashara
Sasa ninaomba mnipe mbinu gani nitumie ili maisha yangu yawe ya Siri nimeshahangaika sana Kuna vitu nisipowashirikisha Ina kua ni ugomvi hivyo inanilazimu niwaeleze mipango yangu yote hiki kitu sikipendi na hata nikiwama hawana msaada wowote ule
Nifanyaje wasijue maisha yangu na ukizingatia ni watu wangu wa karibu
Natanguliza shukran
Ukipanga visa unaletewa zengwe mpaka urudishe mpira Kwa kipaMPAKA LEO UNAISHI NA NDUGU WALA HUJAPANGA AFU UNATUSUMBUA HAPA
Ukipanga visa unaletewa zengwe mpaka urudishe mpira Kwa kipa