Mbinu za kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wako!!

Mbinu za kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wako!!

Norms

New Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Ndugu wanafamilia wa jf kwa wale wataalam wa masuhala kama haya ya kutoa mbinu na namna ya kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpnzi wako naomba 2saidiane jamani tafaaadhari.:lol:
 
sijakuelewa kutokanae kivipi? yani kwenda kula nakurudi au kufanya nae majambozzzz?
 
Ndo maana tunaangamia kwa kukosa maarifa! Imagine mpenzi wako nae akaja akitafuta mbinu za kutoka na mshkaji wako wa ukweli, how will you feel? Acha upungufu wa fikra kichwani!(UEK)
 
kwa nini utake kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wako? unatafuta loophole ummege?
 
ndugu wanafamilia wa jf kwa wale wataalam wa masuhala kama haya ya kutoa mbinu na namna ya kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpnzi wako naomba 2saidiane jamani tafaaadhari.:lol:

yaani sisi tukufundishe unafiki na upuuzi?.....hapa sio mahala pake_nenda fb labda.
 
sijakuelewa kutokanae kivipi? yani kwenda kula nakurudi au kufanya nae majambozzzz?

Tafuta wa kwako wa kutoka naye, hao wa watu wataku-cost. Wenye wake zao siku hizi wakikufuma wanaweza kukufanyia mambo mabaya aisee. Take care!
 
Tafuta wa kwako, au unataka manundu kijana,mbona wapo wengi
 
Mwenzako leoleo hapa kasema anataka kujiua kisa mpenzi wake kahamishia mapenzi kwa rafiki yake wa karibu....U r playing sick games kid! hujui how it pains kusalitiwa na 2ppo u trust much, we bado mdogo sana. Ni maombi yetu ukue upate busara, hata kama itamgharimu Mungu asababishe huyo unaemwita mpenzio(kwa sababu mpaka hapa hustahili kusema mpenzio) ahamishie mapenzi kwa rafikio uyaone...
 
lol dogo labda ajiingize mwenyewe kwenye 18 otherwise dogo utajuta kuzaliwa likibumbuluka.
 
ujinga mzigo subiri huyo best ako nae ataenda tafuta mbinu za kutoka na wewe.
 
The Good way ya kutoka na Demu wa rafiki yako ni Kutengeneza mazingira ya Rafiki yako huyo Kukula Tigo kwanza....
 
kwanza mleta mada mwenyewe FB type tena kwenye group la mapenzi na bata ndio kuna mawazo hayo...
 
Back
Top Bottom