Mbinu za National Al Ahly hizi hapa

Figisu zipo Africa nzima,hata ninyi mnavyoroga hizo ni figisu
 
Yote uliyoyaeleza ni sahihi,kuna mengine umeacha mf. Wakiwa ugenini huwa walalamishi sana kwa mwamuzi mpira unapoendelea. Hii huwafanya waandae mazingira ya kujilinda ili wawe salama. Na ni waongo sana wanapoingia kwenye 18 ya mpinzani.

Na wakiwa kwao huwa wanaanza mpira nje ya uwanja kwanza kwa vioja mbali mbali kwa mpinzani mf. Hotel ambayo wapinzani hawawezi kutulia vizuri, mashabiki wao kudhihaki wapinzani ikiwezekana na kuwatukana kibaguzi, hapa hasahasa mpinzani akiwa ni pure African kama Simba hivi n.k
Na siku ya mechi mpira ukianza wanacheza kwa kasi sana huku wakitafuta mabao ya haraka haraka na mapema. Hapa mpinzani anapaswa awe makini kwa sababu ni wajanja sana kwa kumdanganya mwamuzi ndani ya 18. Na wanakuwa na mipango haswa ya kutafuta magoli mpaka utasema au siku hiyo umepangiwa timu nyingine nini!?
 
Tujibane hapa hapa NDIMU. 🀣🀣🀣

Hivi wale kina naniliu mbona hawacomment hapa. Kwa nini eti? Au ndio wanateseka na huu ukweli?
Una utani na watu wewe. Wanapata tabu sana ujue basi tu. Kuna clip niliiona sehemu jamaa soka lao ni balaa.

Yangu pua tu siku ikifika
 
Hebu huko. Nini bwaana mbona unachanganya madawa? 😜😜😜 Kikombe gani hicho unasemea. 🀣🀣🀣
Hahahaaaaa, nimepaliwa na kahawa hapa, hivi hulijui kumbe kombe la Mapinduzi ee?
 
Hadi hapo ni ushahidi tosha kwamba wenizidi sana akili coz kama unajua wanachokifanya ni figisu na hizo figisu tunazijua kwanini hatutafut dawa ya hizo figisu kwanini hatuwafnyii na sasa kama wao ili wakija tuwafunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…