Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Fitna zetu huwa za kilozi zaidi na si kisaikolojia kama wao wanavyofanya.Ya kweli haya Mtani? Kwa nini na sisi hatuzifanyi hizo fitna sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fitna zetu huwa za kilozi zaidi na si kisaikolojia kama wao wanavyofanya.Ya kweli haya Mtani? Kwa nini na sisi hatuzifanyi hizo fitna sasa?
Duuu brother ipende nchi yako, hela ya caf inaongeza mzunguko kwenye nchi yako hata wew utaitumia tu ndg
Ndio na sisi tutumiage hizo za kisaikolojia ili twende nao sawa.Fitna zetu huwa za kilozi zaidi na si kisaikolojia kama wao wanavyofanya.
Figisu zipo Africa nzima,hata ninyi mnavyoroga hizo ni figisuSisi hatujui mpira na hatutokuja kujua, ila hii haiwafanyi Waarabu kujua mpira zaidi ya figisu
Huanza kudiscorage timu pinzani toka inapowasili airport, hujuma mahotelini, kuathiri wapinzani kisaikolojia na uwanjani wanakwenda kumaliza kwa kikufunga, kama wanajua mpira kuna haja gani ya hayo mengine? Figisu za hawa jamaa zinajulikana si tu kwa timu za Ukanda wa Afrika mashariki bali Afrika nzima
Una utani na watu wewe. Wanapata tabu sana ujue basi tu. Kuna clip niliiona sehemu jamaa soka lao ni balaa.Tujibane hapa hapa NDIMU. 🤣🤣🤣
Hivi wale kina naniliu mbona hawacomment hapa. Kwa nini eti? Au ndio wanateseka na huu ukweli?
Ndio raha ya Utani wenyewe huo Dafu. 🤣🤣🤣🤣Una utani na watu wewe. Wanapata tabu sana ujue basi tu. Kuna clip niliiona sehemu jamaa soka lao ni balaa.
Yangu pua tu siku ikifika
Tupo kwenye Mapinduzi Cup kwanza, kila kitu na wakati wake ujueTujibane hapa hapa NDIMU. 🤣🤣🤣
Hivi wale kina naniliu mbona hawacomment hapa. Kwa nini eti? Au ndio wanateseka na huu ukweli?
Hebu huko. Nini bwaana mbona unachanganya madawa? 😜😜😜 Kikombe gani hicho unasemea. 🤣🤣🤣Tupo kwenye Mapinduzi Cup kwanza, kila kitu na wakati wake ujue
Hahahaaaaa, nimepaliwa na kahawa hapa, hivi hulijui kumbe kombe la Mapinduzi ee?Hebu huko. Nini bwaana mbona unachanganya madawa? 😜😜😜 Kikombe gani hicho unasemea. 🤣🤣🤣
Kweli kabisa. Ila jana Azam walichotufanyia Mungu anawaona. Tutalipa kisasi Tpl very soonNdio raha ya Utani wenyewe huo Dafu. 🤣🤣🤣🤣
Mia yangu yatakuwa masikio tu.
Yaani wala hatutawachelewesha sababu sijaona mpira wa maana pale.Kweli kabisa. Ila jana Azam walichotufanyia Mungu anawaona. Tutalipa kisasi Tpl very soon
😀😀😀, umenivunja mbavu ujue ShadeeyaYaani wala hatutawachelewesha sababu sijaona mpira wa maana pale.
😀😀😀😀 pole sana
Hadi hapo ni ushahidi tosha kwamba wenizidi sana akili coz kama unajua wanachokifanya ni figisu na hizo figisu tunazijua kwanini hatutafut dawa ya hizo figisu kwanini hatuwafnyii na sasa kama wao ili wakija tuwafunge.Sisi hatujui mpira na hatutokuja kujua, ila hii haiwafanyi Waarabu kujua mpira zaidi ya figisu
Huanza kudiscorage timu pinzani toka inapowasili airport, hujuma mahotelini, kuathiri wapinzani kisaikolojia na uwanjani wanakwenda kumaliza kwa kikufunga, kama wanajua mpira kuna haja gani ya hayo mengine? Figisu za hawa jamaa zinajulikana si tu kwa timu za Ukanda wa Afrika mashariki bali Afrika nzima
Mbona wanatufunga kila siku au sio mpira uleWaaarabu wanajua fitina tu lkn mpira hakuna lolote.