Pre GE2025 Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mikosi haitaondoka kwao
Mabalaa yote hayataondoka kwao
Umasikini wa kutisha hautaondoka kwao.

Kufukuzwa kazi hakutaondoka kwao.

Kuuawa na majambazi hakutakoma kwao
 
Mikosi haitaondoka kwao
Mabalaa yote hayataondoka kwao
Umasikini wa kutisha hautaondoka kwao.

Kufukuzwa kazi hakutaondoka kwao.

Kuuawa na majambazi hakutakoma kwao
Na iwe hivyo hadi kwa vizazi vyao. Amen.
 
Nyingi ni kweli na outdated.
 
Ina maana hawakuwepo wenye njaa waliohitaji ubwabwa siku hiyo?
Hayo matokeo ya kupikwa yanatolewa na mtendaji wa kata na kumkabidhi msimamizi wa kituo ili ayaingize kwenye hesabu za kura zilizopigwa. Na hili huwa linafanyika kitaalamu sana, bila mawakala wa vyama vya upinzani kufahamu. Anayefahamu wizi huu ni wakala wa CCM tu kwa kuwa wakati mbinu za wizi wa kura zinatungwa naye hushirikishwa.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, kwakuwa huu ni mwaka wa uchaguzi njooni tudiscuss mbinu wanazotumia kuiba kura na nini kifanyike kudhibiti hizi mbinu, huenda ikasaidia kupunguza loophole ya kufanya wizi wa wazi wazi kama inavyofanyikaga. WELCOME.
 
CCM ni majitu ya ajabu sana. Laana zote zinazoikumba nchi hii ni kwa sababu ya kulaaniwa kwa CCM na machawa wao.
 
Mi nachoshangaa pamoja na maujinga yote haya ambayo yapo wazi kabisa bado vyama vya upinzani vinataka kushiriki huo uchafuzi sijui uchaguzi
Mkuu CHADEMA wamesusia uchaguzi endapo CCM wataendelea na mbinu zao za kuiba kura kama alivyozibuni Magufuli kwenye uchaguzi wa mwaka 2020. Mungu aliingilia kati na kuionesha dunia kwamba dhulma haijawahi kumuacha mtu salama. Tusubiri na mwaka huu tuone kama huyu mama atabaki salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…