Uchaguzi 2020 Mbinu za Zitto Kabwe na siasa za Urais (2020)

Uchaguzi 2020 Mbinu za Zitto Kabwe na siasa za Urais (2020)

Mbona mkopo umeshaidhinishwa na hao aliowafungia safari kwenda kuwaaminisha kwamba fedha hizi zitatumika kwa shughuli za uchaguzi hasa kuibeba CCM ili irejee madarakani kwenye uchaguzi wa tweni tweni kamarade?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzungu muache tu. Hiyo ndio inaitwa mpe mtu sukari ili umpate kwenye 18. Wewe na mimi hujui wanachofikiri, ila hapo kuna kitu. Si rahisi hivyo kama unavyofikiri.

Ningekuwa na muda ningekutonya vizuri.
 
Duh...!. Kumbe Zitto na Seif wataanza kutafuta support ya ndani na nje ili kupata serikali ya mseto Zanzibar, ikishindikana then anavunja muungano!.

Naheshimu mawazo yako ila kiukweli Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania
P
Kuna tofauti gani kati ya vichaa, wendawazimu na wehu.
 
Ukiona Watu wanaandaa majibu ksmahaya ksbla hata hatujafikia japo Kampeni za Uchaguzi Mkuu ng'amua kuna seheku wanaogopa hapo sawa hasa Tume ya Uchaguzi wanaandaa majibu ya kuwatetea baadae " tulisema mapema" tambueni Watanzania tunataka Tume Huru ya Uchaguzi ili iweze kujibu kujitawala yenyewe!
 
Mbona mkopo umeshaidhinishwa na hao aliowafungia safari kwenda kuwaaminisha kwamba fedha hizi zitatumika kwa shughuli za uchaguzi hasa kuibeba CCM ili irejee madarakani kwenye uchaguzi wa tweni tweni kamarade?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkopo utatoka 2021 baada ya uchaguzi, alafu serekali yako imekubali yaishe Dada zetu waturudi shule baada ya kujifungua
 
ZITO ZUBERI KABWE kwangu mimi ni mwanasiasa Mwenye akili nyingi zilizo kosa uzalendo na badala yake zikajawa na tamaa na upotoshaji.

Nimekua nikifuatilia siasa za Zitto toka akiwa CHADEMA mpaka sasa ..leo hii nitatoa UTABIRI WANGU wa KIMAWAZO juu ya alichokipanga kukifanya katika siasa za mwaka (2020)

(1) MPANGO WA ZITTO(ACT) TANZANIA BARA (2020)

ZITTO ZUBERI Kabwe anatambua kutaka kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ni vita dhidi ya CHADEMA na ambayo sio rahisi badala yake amechagua kutumia njia ya mzunguko kwa kuanza na siasa za Zanzibar ili achukue nafasi ya CUF huko na baadae ndio atarudisha mashambulizi Tanzania bara

ACT haina mpango wa kusimkia mgombea wa urais Tanzania bara.

Katika uchaguzi (2020) tofauti na ilivyokuwa 2015 ZITTO Kabwe yuko tayari kujiunga na UKAWA kwa 100% na hata kupoteza majimbo yote bara (aweza bakiwa na moja) ila tu aruhusiwe kusimika wagombea wa urais na Ubunge Zanzibar.

Hivyo Zanzibar mchuano utakuwa kugawana majimbo kati ya CUF na ACT wote wakisimamisha wagombea dhidi ya CCM

(2) ACT ZANZIBAR(2020)

Mpango wa sasa wa Ziitto Kabwe ni kujiimarisha kisiasa ZANZIBAR..ndio maana amepanga safu yake ya mashambulizi kwa style ya kidini katika ngazi zote za juu za uongozi kuanzia Mwenyekiti mpaka washauri wa chama.

Unaweza kuona hapa-:
Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana! - JamiiForums

Zitto anajua fika asilimia kubwa ya wazanzibari ni waislamu na anatambua nguvu ya MAALIM SEIF katika siasa za Zanzibar hivyo atamtumia kukiimalsha chama katika uchaguzi ujao (2020)

Ambapo Zitto amejipanga - MAALIM SEIF atagombea urais Zanzibar Chama kitatumia raslimali nyingi katika kampeni ya Zanzibar kuliko bara. na Mungu akisaidia chama kitapata Wabunge kadhaa na MAALIM atapata kura nyingi kitendo ambacho kitaifanya ACT kuwa si tu kuwa chama maarufu cha Upinzani Zanzibar lakini pia chenye nguvu kuliko CHADEMA na CUF.

Ikitokea ACT imeshindwa uchaguzi Zanzibar (2020) ACT imejipanga kukataa matokeo ya uchaguzi kwa gharama yoyote ile kwa kusisitiza kua TUME YA UCHAGUZI sio huru na MAARIM ameshinda Uchaguzi huo.

Hapa Zitto na Seif wataanza kutafuta support kutoka ndani na nje ya Tanzania.
lengo kubwa likiwa ni
(a) kushinikiza uchaguzi urudiwe Zanzibar(wakiomba usimamizi huru)
(b) itengenezwe serikali mseto.

Ikitokea hayo mawili yameshindikana zitto anaweza anza siasa za USAWA za Zanzibar kujitenga na Tanzania bara akitumia dini kama mwamvuli.(hili sio lazima litokee lakin ipo kichwa kwakwe)

NB: Haya ni maoni na utabiri wangu juu ya Mh Zitto Zuberi Kabwe na siasa za mwaka 2020.

NEXT time nitaandija juu ya CHADEMA na anguko la kisiasa mwaka 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mganga wa kienyeji au vipi! Mbona huna analysis ya kitaalamu, mi naona Ramli tu hapa. Anyway, basi sawa.
 
Naona mnatumwa na waliomponda Zitto kuwa hafiki popote.

Na mnatumika kweli.


Kwani lazima Chadema kiwe chama pinzani milele.


Baada ya kuenezea habari za kikanda sasa ni za kidini!

KAZANENI CCM ITAWANYOOSHA endeleeni kusigana na mitamaa yenu ya ruzuku.
 
Back
Top Bottom