Uchaguzi 2020 Mbinu za Zitto Kabwe na siasa za Urais (2020)

Mbona mkopo umeshaidhinishwa na hao aliowafungia safari kwenda kuwaaminisha kwamba fedha hizi zitatumika kwa shughuli za uchaguzi hasa kuibeba CCM ili irejee madarakani kwenye uchaguzi wa tweni tweni kamarade?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzungu muache tu. Hiyo ndio inaitwa mpe mtu sukari ili umpate kwenye 18. Wewe na mimi hujui wanachofikiri, ila hapo kuna kitu. Si rahisi hivyo kama unavyofikiri.

Ningekuwa na muda ningekutonya vizuri.
 
Duh...!. Kumbe Zitto na Seif wataanza kutafuta support ya ndani na nje ili kupata serikali ya mseto Zanzibar, ikishindikana then anavunja muungano!.

Naheshimu mawazo yako ila kiukweli Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania
P
Kuna tofauti gani kati ya vichaa, wendawazimu na wehu.
 
Ukiona Watu wanaandaa majibu ksmahaya ksbla hata hatujafikia japo Kampeni za Uchaguzi Mkuu ng'amua kuna seheku wanaogopa hapo sawa hasa Tume ya Uchaguzi wanaandaa majibu ya kuwatetea baadae " tulisema mapema" tambueni Watanzania tunataka Tume Huru ya Uchaguzi ili iweze kujibu kujitawala yenyewe!
 
Mbona mkopo umeshaidhinishwa na hao aliowafungia safari kwenda kuwaaminisha kwamba fedha hizi zitatumika kwa shughuli za uchaguzi hasa kuibeba CCM ili irejee madarakani kwenye uchaguzi wa tweni tweni kamarade?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkopo utatoka 2021 baada ya uchaguzi, alafu serekali yako imekubali yaishe Dada zetu waturudi shule baada ya kujifungua
 
We mganga wa kienyeji au vipi! Mbona huna analysis ya kitaalamu, mi naona Ramli tu hapa. Anyway, basi sawa.
 
Naona mnatumwa na waliomponda Zitto kuwa hafiki popote.

Na mnatumika kweli.


Kwani lazima Chadema kiwe chama pinzani milele.


Baada ya kuenezea habari za kikanda sasa ni za kidini!

KAZANENI CCM ITAWANYOOSHA endeleeni kusigana na mitamaa yenu ya ruzuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…