Mbinu zenu za kuwatumia ball boys kuchelewesha mipira uwanjani hazitafua dafu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Al ahly hawawezi kuruhusu kupigwa na kikosi kibovu chenye wachezaji wazee Kama Saidoo ntibazonkiza, John Rafael Bocco na Yule mchezaji mwenye speed ya Konokono.

Hawa wazee watambe wanapo tamba lakini siyo kwa Al ahly (bingwa wa Africa)

Raisi wa CAF, Raisi wa FIFA na wageni wengine kede kede wamekuja kuishuhudia Al ahly Inavyoidharirisha Ayub FC

Na Al ahly haitawaangusha mashabiki wageni Rasimi katika kutoa dozi.

Nawatahadharisha Ayubu FC mbinu mliyoibuni kuwa ball boys wacheleweshe mpira kwa makusudi mtajitia aibu wenyewe mbele ya wageni kutoka nchi mbali mbali.

Shubamiti..

Tukutane kwa mkapa ndani ya dakika 90.
 
Al ahly hawawezi kuruhusu kupigwa na kikosi kibovu chenye wachezaji wazee Kama saidoo ntibazonkiza, John Rafael Bocco na Yule mchezaji mwenye speed ya Konokono...
Uzuri hii al ahly kila team kubwa ya Tanzania itacheza naye kwa hyo weka akiba ya maneno mkuu
 
images (2) (1) (1).jpeg
 
"Mashabiki wa Yanga ni mambwa hakuna lolote wanalojua kuhusu kandanda ila muda wote wanazomea tu utadhani manyani"

- Dkt Luc Eymael 2020
 
IMG_8024.jpeg

Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.

Mashabiki WA Yanga Hawana Akili.

Mashabiki WA Yanga Hawana elimu
 
Al ahly hawawezi kuruhusu kupigwa na kikosi kibovu chenye wachezaji wazee Kama Saidoo ntibazonkiza, John Rafael Bocco na Yule mchezaji mwenye speed ya Konokono.

Hawa wazee watambe wanapo tamba lakini siyo kwa Al ahly (bingwa wa Africa)

Raisi wa CAF, Raisi wa FIFA na wageni wengine kede kede wamekuja kuishuhudia Al ahly Inavyoidharirisha Ayub FC

Na Al ahly haitawaangusha mashabiki wageni Rasimi katika kutoa dozi.

Nawatahadharisha Ayubu FC mbinu mliyoibuni kuwa ball boys wacheleweshe mpira kwa makusudi mtajitia aibu wenyewe mbele ya wageni kutoka nchi mbali mbali.

Shubamiti..
Tukutane kwa mkapa ndani ya dakika 90.
Hakika MACHOKO hamtaisha Nchi hii
 
Mpaka sasa Hivi umeandika nyuzi 7 kuiponda Simba kuhusu AFL,Kaa wa kutulia dawa ikuingie
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
WEKA NA MANENO YA YULE ALIYESEMA KUWA MASHABIKI WA SIMBA SC NI MBUMBUMBU
 
Al ahly hawawezi kuruhusu kupigwa na kikosi kibovu chenye wachezaji wazee Kama Saidoo ntibazonkiza, John Rafael Bocco na Yule mchezaji mwenye speed ya Konokono.

Hawa wazee watambe wanapo tamba lakini siyo kwa Al ahly (bingwa wa Africa)

Raisi wa CAF, Raisi wa FIFA na wageni wengine kede kede wamekuja kuishuhudia Al ahly Inavyoidharirisha Ayub FC

Na Al ahly haitawaangusha mashabiki wageni Rasimi katika kutoa dozi.

Nawatahadharisha Ayubu FC mbinu mliyoibuni kuwa ball boys wacheleweshe mpira kwa makusudi mtajitia aibu wenyewe mbele ya wageni kutoka nchi mbali mbali.

Shubamiti..
Tukutane kwa mkapa ndani ya dakika 90.
Hakika mimba uliyokuwa nayo ni mapacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom