NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Al ahly hawawezi kuruhusu kupigwa na kikosi kibovu chenye wachezaji wazee Kama Saidoo ntibazonkiza, John Rafael Bocco na Yule mchezaji mwenye speed ya Konokono.
Hawa wazee watambe wanapo tamba lakini siyo kwa Al ahly (bingwa wa Africa)
Raisi wa CAF, Raisi wa FIFA na wageni wengine kede kede wamekuja kuishuhudia Al ahly Inavyoidharirisha Ayub FC
Na Al ahly haitawaangusha mashabiki wageni Rasimi katika kutoa dozi.
Nawatahadharisha Ayubu FC mbinu mliyoibuni kuwa ball boys wacheleweshe mpira kwa makusudi mtajitia aibu wenyewe mbele ya wageni kutoka nchi mbali mbali.
Shubamiti..
Tukutane kwa mkapa ndani ya dakika 90.