shetani aka shetty baby
Member
- Oct 4, 2022
- 90
- 82
HahahaKwa Hilo jina unalojiita humu JF utavurugana sana na huyo Maimuna wako
Yani complain yako ni nn haswa mkuu ... Shetty baby ππNawasalimia wanaizengo..
Nina mwanamke(office mate)mjanja mjanja Sana tuko ofisi Moja, tume date na nime kula mara mbili tatu. Namsoma bado.
Huyu mwanamama is extra genius naona na iq zake kunizidi kabisa. Kikubwa ni ile mwanaume siku zote anabaki kuwa stronger, easy, Smart....ila sasa naona jazba zinanipanda. Naweza kuharibu. Nataka amani itawale zaidi.
Naomba ushauri maana naona tutahairbiana mambo mengi
Eeeh naona Satan anampa ushauri Shetani,tusubiri tsunami tu hapo"A man is always better than women, no matter what.... "
Shikilia hapo
Halafu, kwanini usieleze directly ukaeleweka ili uweze kusaidiwa?
Huyu si wa kuoa haki Kwa kweli..Kuna wanawake shetani anasubiriOffice mate mko ofisi moja, oa